Upandikishaji wa kichwa sasa unawezekana
Wanasayansi wanaamini upasuaji wa upandikishaji wa kichwa cha mwanadamu katika mwili mwengine huenda ukafanikiwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Aug
Ukawa sasa pasua kichwa
LICHA ya agizo la Rais Jakaya Kikwete la kuwataka viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao, wanaounda kundi la Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), kuacha kususa na kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ili kuendelea na mchakato huo, kufikia jana hakukuwa na mwelekeo wa kulegeza msimamo wao.
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Upandikishaji wa uume wafaulu A.Kusini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q0eTF77DOC7pOEH4eiW3*9g2rsPlMxNNycXks1kcQhAXRiyyyY-8pffkHzF574iRoDXYV6Uv-vXYI9rbJnh*MFH/money2lastspartan.jpg?width=650)
UTAJIRI MWAKA HUU UNAWEZEKANA?
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Utalii wa kijiografia unawezekana Mwanza
11 years ago
Habarileo08 Apr
Wasomi wasisitiza utaifa unawezekana serikali 2
MKOA wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umesema misingi ya utaifa na umoja wake inawezekana tu nchini hapa kwa kuwa na mfumo wa serikali mbili. Aidha, Mkoa huo umesema kwamba fikira za waasisi wa aina ya Muungano zililenga mbali zaidi ya ushirikiano na hivyo ipo haja ya kuendelea kuenzi muundo huo kwa manufaa ya taifa.
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Escro Pasua Kichwa
Elizabeth Mjatta na Aziza Masoud,Dar es Salaam
KAULI ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kwamba hatojiuzulu na kwamba yeye na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo bado wanategemewa na Rais Jakaya Kikwete imeonekana kutibua nyongo za wasomi, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali.
Mbali na wasomi, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali waliozungumza na gazeti hili, kuhusiana na kauli hiyo aliyoitoa juzi mbele ya waandishi wa habari...
10 years ago
Mtanzania09 Jan
Lowassa pasua kichwa
Na Absalom Kibanda, Dar es salaam
SASA ni bayana kwamba tumeingia kwa kishindo mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambao Watanzania tunaratajia kupata safu mpya ya viongozi wa kisiasa na wa kiserikali watakaoliongoza taifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kauli za kushtusha, kushangaza, za maana na za kipuuzi zimeanza kusikika kutoka katika kila kona ya taifa hili zote zikigusia kwa namna moja au nyingine kile ambacho kinaweza kikabadili mwelekeo wa siasa za Tanzania kwa miaka mingi ijayo.bTumewasikia...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Urais pasua kichwa
RIPOTI ya utafiti ya Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza yenye kichwa cha habari, ‘Tanzania kuelekea 2015’, imevuruga mijadala ya kitaifa inayoendelea nchini. Ripoti hiyo iliyozinduliwa Dar es Salaam wiki...
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Lowassa ni pasua kichwa (2)
![Edward Lowassa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Edward-Lowassa-300x193.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
Na Absalom Kibanda,
TAIFA linazidi kujongea kuelekea katika kilele cha kelele za shangwe na majonzi yatakayotokana na uteuzi wa wagombea na baadaye matokeo ya ama kushinda au kushindwa katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa maneno mengine, hali hiyo inaeleza kuwadia kwa msimu wa Uchaguzi Mkuu ambao kwa utamaduni wa miaka ya hivi karibuni hutawaliwa na kila aina ya vituko vinavyohusisha na kugusa watu...