Safari ya Mwanza kuwa mji wa utalii bado
Nashukuru kwa simu chache nilizopata kutokana na makala yangu ya wiki iliyopita ambayo ilizungumzia Mwanza ina uwezo wa kuwa mji wa kiutalii, lakini mpaka sasa hakuna matangazo ya kutosha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam
Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.
Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.
Dar es Salaam itakuwa...
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Zanzibar ,ukuza ji utalii bado kizungumkuti
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Safari bado ni ndefu - Msama
10 years ago
Michuzi23 Jun
jarida la utalii nchini sweden laufagilia mgahawa wa mtanzania chef issa katika mji wa trollhattan
![IMG-20150616-WA0008](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150616-WA0008.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Safari ya mafanikio ya soka bado ndefu
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Safari bado ndefu kuelekea Ikulu
KWANZA ninaomba radhi kwa safu hii kuadimika kwa takriban wiki mbili mfululizo.
Evarist Chahali
9 years ago
Michuzi13 Sep
SAFARI ZA MO LEMON MINT SODA YAVUKA MIPAKA YAFIKA MJI WA SANTORINIA
![lemon](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/lemon.jpg)
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake mbalimbali vikiwemo: MO Cola, MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).
Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL...
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Safari za MO Lemon Mint soda yavuka mipaka yafika mji wa Santorini
Mo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako ‘smile emoticon’ Ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake mbalimbali vikiwemo: MO Cola, MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).
Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL...