Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari za MO Lemon Mint soda yavuka mipaka yafika mji wa Santorini

lemonMo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako ‘smile emoticon’ Ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Kampuni ya  Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake  mbalimbali vikiwemo: MO Cola,  MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).

Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SAFARI ZA MO LEMON MINT SODA YAVUKA MIPAKA YAFIKA MJI WA SANTORINIA

lemonMo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako 'smile emoticon' ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.Na Andrew Chale, modewjiblog
Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake mbalimbali vikiwemo: MO Cola, MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).

Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mauaji ya albino yavuka mipaka

                                                                         


NA MWANDISHI MAALUM, BLANTYREWAKATI Rais Jakaya Kikwete akitangaza vita na mtandao hatari unaojihusisha na utekaji na mauaji ya walemavu wa ngozi (albino), matukio hayo kwa sasa yameshika kasi nchini Malawi. Juzi, wakati akihutubia taifa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, Rais Kikwete alisema serikali itahakikisha inasambaratisha mtandao huo na kuwataka watanzania wote kushiriki kwenye vita hiyo. Hata hivyo,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam

 

etihad

Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni  shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.

Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.

Dar es Salaam itakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA YAFIKA KILELE MBEYA, TUMAIN BAR& LODGE WAIBUKA KIDEDEA

Mgeni rasmi katika mashindano ya safari lager nyama choma, Katibu tawala wa Wilaya ya Mbeya, Quip Mbeyela, akizungumza na wakazi wa Jiji la Mbeya kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.Meneja wa Bia ya Safari lager Edith Bebwa, akitoa neno la utangulizi kabla ya kuanza kukabidhi zawadi katika fainali ya nyama choma.Mgeni rasmi akiwa meza kuu pamoja na uongozi wa TBL.Jaji Mkuu akitaja majina ya washindiMgeni rasmi pamoja na watumishi wa TBL wakijiandaa kuanza kutoa zawadi.Mwakilishi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kipindi cha “Mimi na Tanzania” chavuka mipaka ya Tanzania, safari ni ndani ya jiji la Washington DC

IMG-20140725-WA0004

Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha ‘Mimi na Tanzania’ Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili ambapo alimua kufunga safari kwa ajili ya kufanya mazungumzo maalum na Balozi wetu wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula.

IMG-20140725-WA0006

Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu akitia saini kitabu cha wageni kwenye Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani.

IMG-20140725-WA0005

Hapa akiwa mapokezi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Safari ya Mwanza kuwa mji wa utalii bado

Nashukuru kwa simu chache nilizopata kutokana na makala yangu ya wiki iliyopita ambayo ilizungumzia Mwanza ina uwezo wa kuwa mji wa kiutalii, lakini mpaka sasa hakuna matangazo ya kutosha.

 

10 years ago

TheCitizen

Try this lemon ricotta cake baked with cheese

Expand your cheese horizons by trying this baking with cheese recipe in your kitchen. You may never look at cheese in the same way!

 

11 years ago

BBC

Why are the Mint countries special?

Which are the four 'Mint' countries and what makes them special?

 

5 years ago

GSMArena.Com

OnePlus 8 Pro official images and specs leak, show off new mint color - GSMArena.com news

OnePlus 8 Pro official images and specs leak, show off new mint color - GSMArena.com news  GSMArena.comOnePlus 8 Pro leaked press renders reveal the phone’s final design  BGRView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani