Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Utawala mbovu ni matokeo ya kufutwa kwa Azimio la Arusha’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Getrude Mongella amesema, kufutwa kwa Azimio la Arusha lililowabana viongozi na wananchi kufuata misingi ya mtawala na mtawaliwa ndiyo chanzo cha matatizo yanayolikumba taifa sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mongella: Kufutwa Azimio la Arusha chanzo cha ufisadi

MWANASIASA mkongwe nchini, Getrude Mongella amesema kufutwa kwa Azimio la Arusha lililokuwa linasimamia misingi na maadili ya uongozi, ndio chanzo cha kuwapo matatizo ya ufisadi yanayotokea sasa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani kufutwa kwa matokeo Zanzibar

Marekani imelaani hatua ya tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe wa bunge la wawakilishi visiwani humo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya ZADIA kuhusu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

Logo ya Zadia Jumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato wa uchaguzi ulifanyika kwa njia za amani na utulivu. Hata hivyo ZADIA imeshtushwa mno na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mh. Jecha Salim Jecha la kutangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu Zanzibar na matokeo yake.   Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara...

 

9 years ago

Michuzi

ZADIA YAZUNGUMZIA HALI YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Logo ya ZadiaJumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato wa uchaguzi ulifanyika kwa njia za amani na utulivu. Hata hivyo ZADIA imeshtushwa mno na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mh. Jecha Salim Jecha la kutangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu Zanzibar na matokeo yake.

Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara na...

 

10 years ago

Habarileo

JK- Utawala wa soka mbovu

RAIS Jakaya Kikiwete amesema timu za Taifa na Klabu zinashindwa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa kutokana na utawala mbovu wa mpira. Akizungumza jana kwenye uzinduzi wa ujenzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M. Kikwete Youth Park kinachojengwa kwa udhamini wa Sunderland na Kampuni ya kufua umeme ya Symbion, eneo la Kidongo Chekundu Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema kwa muda mrefu timu za soka zimekuwa hazifanyi vizuri kwa sababu uongozi umeshindwa kutilia mkazo klabu kuwekeza...

 

9 years ago

StarTV

Wajumbe wateule waendelea kupinga kufutwa kwa matokeo Uchaguzi  Zanzibar

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wateule Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) wamesema hawapo tayari kurudia Uchaguzi Mkuu kwa madai ya kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 siyo batili.

Huku wakiitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutengua tamko la kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi na badala yake kutangaza matokeo ya Majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi huo.

Abubakari Khamis Bakari ametoa tamko hilo ambalo ni azimio la wawakilishi wateule 27 kupitia chama hicho Zanzibar na kusema kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

'Migogoro Chadema ishara ya utawala mbovu'

MIGOGORO inayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imedaiwa kuwa ni ishara ya utawala mbovu, unaotokana na udikteta, udini na ukabila vinavyosababisha chama kukosa kuaminiwa na wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

Wamuenzi Seth Benjamini wa Azimio la Arusha kwa usafi

KIKUNDI cha hamasa cha kuwaenzi viongozi na waasisi wa Taifa cha Loliondo Group, mkoani Arusha, kimemuenzi shujaa Seth Benjamini aliyefariki dunia akitembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha, kwa kufanya usafi wa mazingira ulioambatana na kusafisha kaburi la shujaa huyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uingereza yapinga kufutwa matokeo Zanzibar

Serikali ya Uingereza na ile ya Ireland Kaskazini zimepinga kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani