Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK- Utawala wa soka mbovu

RAIS Jakaya Kikiwete amesema timu za Taifa na Klabu zinashindwa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa kutokana na utawala mbovu wa mpira. Akizungumza jana kwenye uzinduzi wa ujenzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M. Kikwete Youth Park kinachojengwa kwa udhamini wa Sunderland na Kampuni ya kufua umeme ya Symbion, eneo la Kidongo Chekundu Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema kwa muda mrefu timu za soka zimekuwa hazifanyi vizuri kwa sababu uongozi umeshindwa kutilia mkazo klabu kuwekeza...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Migogoro Chadema ishara ya utawala mbovu'

MIGOGORO inayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imedaiwa kuwa ni ishara ya utawala mbovu, unaotokana na udikteta, udini na ukabila vinavyosababisha chama kukosa kuaminiwa na wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Utawala mbovu ni matokeo ya kufutwa kwa Azimio la Arusha’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Getrude Mongella amesema, kufutwa kwa Azimio la Arusha lililowabana viongozi na wananchi kufuata misingi ya mtawala na mtawaliwa ndiyo chanzo cha matatizo yanayolikumba taifa sasa.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Barabara Chalinze-Mlandizi mbovu’

Wakala wa Barabara (TANROADS), Pwani imekiri sehemu ya barabara Kuu ya Mlandizi – Chalinze katika Barabara ya Dar es Salaam Morogoro imechakaa na inahitaji kufanyiwa matengenezo makubwa pamoja na kupanuliwa kutokana na ongezeko la magari yanayosafiri kwenye barabara hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkwasa alia msingi mbovu

 Mtaalamu wa Elimu na Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema kuwa kuporomoka kwa soka la Tanzania kunachangiwa na mfumo mbovu uliopo kwenye klabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Sera mbovu kiini kuporomoka elimu

Wadau wa elimu nchini wameichambua elimu ya Tanzania na kueleza kuwa, tatizo la kuporomoka kwa elimu ni matokeo ya sera na mifumo mibovu na si uhaba wa miundombinu kama madawati, vitabu au majengo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usimamizi mbovu misitu wakosesha bil. 6/-

SERIKALI inapoteza zaidi ya sh bilioni 6 ya mapato kwa mwaka zitokanazo na mazao ya rasilimali ya misitu kutokana na mirabaha midogo na usimamizi mbovu wa leseni za uvunaji. Kaimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani