Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwasa alia msingi mbovu

 Mtaalamu wa Elimu na Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema kuwa kuporomoka kwa soka la Tanzania kunachangiwa na mfumo mbovu uliopo kwenye klabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mkwasa alia na Yanga, Azam FC

KUSHINDWA kuwepo kambini kwa wachezaji wa Yanga na Azam FC kumeharibu ratiba ya maandalizi ya timu ya taifa, Taifa Stars, inayojiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria.

 

9 years ago

Habarileo

Mkwasa alia mabao machache

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa anasema pamoja na kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi, lakini lengo lao halikutimia kwani walitaka kushinda mabao mengi.

 

9 years ago

Michuzi

Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC),...

 

10 years ago

Habarileo

JK- Utawala wa soka mbovu

RAIS Jakaya Kikiwete amesema timu za Taifa na Klabu zinashindwa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa kutokana na utawala mbovu wa mpira. Akizungumza jana kwenye uzinduzi wa ujenzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M. Kikwete Youth Park kinachojengwa kwa udhamini wa Sunderland na Kampuni ya kufua umeme ya Symbion, eneo la Kidongo Chekundu Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema kwa muda mrefu timu za soka zimekuwa hazifanyi vizuri kwa sababu uongozi umeshindwa kutilia mkazo klabu kuwekeza...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Barabara Chalinze-Mlandizi mbovu’

Wakala wa Barabara (TANROADS), Pwani imekiri sehemu ya barabara Kuu ya Mlandizi – Chalinze katika Barabara ya Dar es Salaam Morogoro imechakaa na inahitaji kufanyiwa matengenezo makubwa pamoja na kupanuliwa kutokana na ongezeko la magari yanayosafiri kwenye barabara hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kingunge: Katiba mbovu inadumaza maendeleo

Uchumi wa Tanzania utaendelea kudumaa kama itaendelea kung’ang’ania Katiba isiyokuwa na misingi bora ya maendeleo ya uchumi. Hayo yalisemwa jana na mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru mjini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kwa kushirikiana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) .

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mbovu imechangia umasikini — CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema ubovu wa katiba iliyopo pamoja na sheria zake ndizo zinazosababisha umasikini kwa Watanzania. Kauli hiyo imetolewa mjini hapa jana na Mkurugenzi wa Sera...

 

11 years ago

GPL

BARABARA MBOVU ZAVURUGA USAFIRI MBAGALA

UBOVU wa barabara kutokana na mvua umezidi kuleta adha kwa usafiri wa magari jijini Dar es Salaam.  Leo kamera yetu ilitembelea kitongoji cha Mbagala na kukuta basi la Usafiri Dar es Salaam (UDA)  likiwa limekwama katika shimo na kuwasababishia abiria matatizo. (PICHA NA HAMIDA HASSAN /…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani