UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NHC MTWARA WASHIKA KASI
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 May
Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yamhamasisha Mkurugenzi wa Bodi ya NHC
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia...
10 years ago
Michuzi04 May
Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yafurahisha bodi ya shirika hilo
11 years ago
MichuziUtekelezaji wa Mpangokazi wa APRM washika Kasi
Serikali ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyiakazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).
Itakumbukwa kuwa, Tanzania ni miongoni mwa nchi 34 kati ya 54 za AU zilizokwishajiunga na Mpango wa APRM. Tanzania ilijiunga na mchakato huu mwaka 2004 na Bunge kuridhia mnamo tarehe 1 Februari 2005.
Kwa mujibu wa...
10 years ago
Dewji Blog01 Nov
NHC watathmini utekelezaji wa ujenzi wa miradi
Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Isikizya zilizopo wilayani Uyui mkoani Tabora kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo, Kongwa Dodoma kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli...
9 years ago
Michuzi14 Aug
ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI
11 years ago
Michuzi12 Jul
JOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA
10 years ago
GPLZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI
11 years ago
GPLJOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Ushoga washika kasi nchini
WAKATI Uganda imepitisha sheria ya kuzuia mapenzi ya jinsia moja, hapa nchini hali ni mbaya zaidi kutokana na kuwepo kwa asilimia kubwa ya watu wanaojihusisha na ushoga. Kwa mujibu wa...