Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uteuzi mume, mke wabomoa chama

Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi kudaiwa kufanya njama zilizofanikisha yeye na mkewe kuteuliwa wajumbe wa Bunge la Katiba, limechukuwa sura mpya baada ya kiongozi wa chama hicho Zanzibar kujiuzulu na kujivua uanachama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MUME, MKE WATEKWA!

KIJANA aliyetambulika kwa jina la Dickson Mathias (35), na msichana aliyejulikana kwa jina la Mariam Kimaya wanadaiwa kutekwa kwa nyakati tofauti baada ya kufunga ndoa ya siri katika Kanisa la KKT, Tegeta jijini Dar, Mei Mosi, 2012, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Mariam Kimaya anayedaiwa kutekwa. Akizungumza na gazeti hili kwa majonzi makubwa, dada wa Dickson, Aneth Mbaga alisema tukio hilo lilitokea baada ya Dickson...

 

11 years ago

GPL

MUME, MKE VARANGATI MAHAKAMANI

Stori: Haruni Sanchawa
TIMBWILI! Jamaa mmoja na mkewe ambao wote hawakujulikana majina mara moja wamezua varangati la aina yake mahakamani kisa kikiwa ni kufutiwa kesi na kushindwa kuheshimu amri za maafande. Polisi wakimdhibiti jamaa huyo. Tukio hilo la aina yake lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar baada ya mume huyo kufutiwa kesi iliyokuwa ikimkabili ya unyayasaji...

 

10 years ago

Mwananchi

MUME KWA MKE TAJIRI

UME KWA MKE TAJIRI Mke akiwa tajiri, mwanamume maskini Hana uwezo fakiri, mke hatamthamini Natunga hili shairi, nisemayo naamini Mume kwa mke tajiri

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke na kutoweka

MWILI wa mwanamke aliyefamika kwa jina la Ekanga Michael (30), umekutwa korongoni maeneo ya Mwanga Vamia karibu na kambi ya jeshi, Manispaa ya Kigoma Ujiji ikidaiwa kuuawa na mumewe. Akifafanua...

 

10 years ago

GPL

MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!

Stori: Mayasa Mariwata
Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda. Bw. Ally Musa anyedai kukimbiwa na mkewe(Sauda). Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke amkimbia mume kingono

Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo kwa mumewe.

 

11 years ago

Habarileo

Mume aua mke kwa kisu

WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.

 

10 years ago

Habarileo

Mke azungumzia mume kuhamia Chadema

MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani hapa, Fatuma Ngorisa ambaye ameteuliwa kuwa diwani wa Viti Maalumu (UWT) amesema kuwa kuhama kwa mume wake, ni uamuzi wake binafsi, hakumshirikisha hivyo hawezi kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

GPL

MKE: WOLPER NIACHIE MUME WANGU!

Musa Mateja na Imelda Mtema KIMENUKA! Siku chache baada ya kumwanika mchumba’ke, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye tayari amemvisha pete ya uchumba, mambo yamekuwa siyo mambo kwa staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe kutokana na mke wa jamaa huyo kuibuka na kumtaka amwachie mumewe. Chanzo makini kimelieleza Ijumaa Wikienda kwamba, baada ya habari na picha za Wolper na Mkongomani huyo kuripotiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani