Uteuzi wa JK wakosolewa
RAIS Jakaya Kikwete amekosolewa kwa kuchgua mawaziri wasio na sifa kutokana na tabia yake ya kutaka kulipa fadhila. Hayo yalibainishwa na Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Mayweather na Pacquiao wakosolewa
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Uapishaji viongozi Segerea wakosolewa
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Wahitimu elimu ya juu wakosolewa
BAADHI ya wahitimu wa elimu juu hawana uelewa na ufahamu wa kutosha wa kile walichokisomea na mambo yanayoendelea kwenye mazingira husika. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Sekretarieti...
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Nuklia:Msimamo wa Netanyahu wakosolewa
9 years ago
Bongo506 Jan
Mpango wa Beyonce kufanya movie hii wakosolewa vikali Afrika
![The 55th Annual GRAMMY Awards - Arrivals](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/o-BEYONCE-GRAMMYS-facebook-300x194.jpg)
Kwa wengine Queen Bey hawezi kufanya kitu kibaya, lakini ukitoa mradi mpya wa filamu anaodaiwa kupewa.
Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa Beyoncé anaweza kushiriki kwenye filamu ya historia ya Saartjie (“Sarah”) Baartman, mwanamke wa Afrika Kusini aliyenyonywa na Waingereza katika karne ya 18 na 19.
Baartman, aliyejulikana pia kama Hottentot Venus alikuwa akioneshwa hadharani akiwa mtupu kutokana na kuwa na makalio makubwa.
Chief Jean Burgess wa Afrika Kusini amedai kuwa Beyoncé hafai...