UTUMISHI YAPOKEA VITENDEA KAZI TOKA UNDP KUBORESHA UTENDAJI
James Mwanamyoto - Dodoma
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, katika kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma bora kwa wananchi, imepokea vitendea kazi vya kielektroniki toka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Vitendea kazi vilivyopokelewa ni Kompyuta saba (7), “printer” 10 na kompyuta mpakato tatu (3) vyenye thamani ya shilingi 45,919,500/=.
Akipokea vitenda kazi hivyo leo toka kwa Bw. James Bwana, Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Serikali imefanikiwa kuboresha utendaji kazi wa utumishi wa umma kwa kuendesha mikutano kupitia njia ya video (TEHAMA)
Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu wa kwanza kushoto mstari wa mbele akiongoza kikao kazi kupitia njia ya video kwa makatibu tawala wa mikoa na wasaidizi wao, wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa na wakuu wa idara za utawala na rasilimali watu katika mamlaka za serikali za mitaa kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kagera, Tanga,Tabora,Manyara, Morogoro, Rukwa na Katavi kilichofanyika jana kwenye ukumbi wa Wakala wa Mafunzo kwa Mtandao iliyopo...
11 years ago
MichuziOFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Muhas yaboresha vitendea kazi
JUMUIYA ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), kimeboresha hali ya vitendea kazi katika sehemu ambazo ni hatarishi zaidi ili kulinda watendaji wake dhidi ya maambukizi ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
Zimamoto Mwanza walilia vitendea kazi
NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
JESHI la Zimamoto na Uokoaji jijini hapa linakabiliwa na uhaba wa vifaa vya uokoaji wakati wa mafuriko, suala linalosababisha kupata wakati mgumu kipindi mafuriko.
Akizungumza na gazeti hili, ofisini kwake, jana, Kamanda wa kikosi hicho mkoa humo, Andrew Mbate, alisema wanapata tabu wakati wa uokoaji pindi mafuriko yanapotokea.
Mbate alisema jeshi hilo halina vifaa vya kutumia katika uokozi wakati wa mafuriko suala linalosababisha walazimike kutumia vifaa bandia...
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Mfuko wa Wakfu watoa vitendea kazi
MFUKO wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Korosho nchini (CIDTF), kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), wamekabidhi vitendea kazi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri saba kwa ajili ya maofisa...
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Bandari ya Tanga yalalamikia vitendea kazi
10 years ago
Tanzania Daima19 Sep
Zimamoto walia na ukosefu wa vitendea kazi
KIKOSI cha zima moto na uokoaji mkoani Pwani kimesema kinashindwa kukabiliana na majanga ya moto kwa wakati kutokana na ukosefu wa vitendea kazi yakiwemo (magari). Akizungumza na waandishi wa habari...
10 years ago
Habarileo17 Apr
CCM waomba polisi kupewa vitendea kazi
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watendaji wa Serikali wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameishauri na kuiomba Serikali kuboresha na kuongeza vitendea kazi ikiwemo magari ya Polisi kwa ajili ya kufanyia doria ili kudhibiti magendo ya rasilimali za nchi zinazovushwa na baadhi ya Watanzania wasiokuwa wazalendo.