Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwanja wa Mashabiki: Riyama Anakipaji Sio Ngekewa

“Yani Riyama  dah. ..kiukweli katika top 5 zangu za bongo movie basi huyu nanafasi yake ktk hiyo top 5
huyu ana kipaji na sio ngekewa wallah tena ni hatariiii u know.
aki uvaa uhusika unaona kweli huyu ni kiboko anajua ku act na yuko serious na anachokifanya
huwa najiuza ile movie alio cheza kama chizi ni yeye au kalogwa  kama chizi kweli
akicheza kulia analia mpaka kamasi linamshuka misha analilamba shikamo damwani”

By Matikibokoyao
 

Hii ni safu mpya, inatoa fursa kwa mashabiki wa filamu za...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Victoria Kimani adai hapewi support na mashabiki wa nyumbani Kenya kama anayoipata Nigeria ambako sio kwao

Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani amezungumzia swala la kukosa support ya kutosha nyumbani Kenya, tofauti na anavyopata Nigeria ambako ameishi kwa muda mrefu licha ya kuwa si kwao. Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika ujumbe huu mrefu; “I could choose to highlight all the negativity I get from my Fellow Kenyans […]

 

9 years ago

StarTV

Mashabiki wa soka wapungua Uwanja wa CCM Kirumba.

Kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na madiwani  nchini  Oktoba 25 pamoja na mchezo kati ya Yanga na timu ya Mwadui  ya mkoani  Shinyanga ni  miongoni mwa sababu ambazo zimetajwa  kuchangia mashabiki  kutoingia katika uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mchezo wa ligi kuu baina ya Toto African ya Mwanza na  JKT Mgambo

Huku Ligi kuu ikiwa  imeingia katika raundi ya tisa ushindani mkali unazidi kuongezeka,

Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Toto African ya jijini Mwanza Godwin Aiko...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja Wa Mashabiki: Hakika Nampenda Wellu Sengo!!

Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo sana yuko na baby face na ile figure doh!acha niusemee moyo wangu,I LOVES YOU WELU SENGO

By: Munagwa Jr

Huu ni uwanja wako wewe shabiki kutiririka chochote kuhusu wasanii na tasnia nzima ya filamu....

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja wa Mashabiki: ‘Mkongomani’ Awaomba Wema na Kajala Kuyamaliza

Moja kwamoja kutoka Inbox, Gloria anatiririka.

Jambo bongo movie! Naitwa gloria, ni mukongomani naye ishi south africa. Napenda sana kazi zenu, tena sana..... Nawapendeni wote. Nina ombi moja, ninge penda muwa unganishe wasani wema sepetu,na kajala. Ahhhhh mimi nawapenda sana, na kila mara ninapo soma kwenye mitandao bifu yao iki endelea ahhhh roho ina niuma sanaaaaa. Naomba wema,amusamehe kajala. Hakuna bina damu aliye kamilika, wote tuna jaribiwa, lakini njia mbadala yaku shinda hayo niku...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja wa Mashabiki: Nora Upo Wapi Dada Tumekumis

Wasanii wengi wamaigizo walikuwa wanafanya vizuri na kujipatia heshima kutokana na uigizaji wao ambo ulikuwa unabeba ujumbe na kuzingatia maadili.

Baada ya kuibuka wimbi la utengenezaji wa filamu, wengine waliendele na wengine hatujui wameshia wapi.

Kuna mwanadada ambae kiukweli sio mimi pekee bali jamii nzima  inayofuatilia maswala ya sanaa ya uigizaji inamkumbuka mwanadada Nuru Nassro  ‘NORA’ kutokana uwezo wake wa kuvaa uhusika. Jamani dada unajua tunakuhutaji kuliko unavyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja wa Mashabiki: Saga la Ladie Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki mitandaoni kuhusiana na SAGA la Ladies Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga  walioziona zote mbili.

Inasikitisha sana kama wasanii wetu wanaweza kufanya uhuni huu na kutuaminisha watanzania kwamba wametunga wao.
Binafsi nimeangalia muvi ya Ladie Vs Ricky Bahl mwaka 2011 na ni moja kati ya movie ya kihindi niliyoipenda kutokana na maudhui yaliyo kwenye movie hiyo.
Ricky Bahl alicheza kama Conman mtaalam aliyekuwa anawalaghai wadada mbalimbali kwa mapenzi ya dhati...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Afrika sio uwanja wa majaribio ya chanjo ya corona - WHO

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amelaani kauli alizoziita za "kibaguzi" kutoka kwa madaktari wawili wa Ufaransa ambao walitaka chanjo ya virusi vya corona kufanyiwa majaribio barani Afrika.

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja wa Mashabiki: Wema Sinema Yako na Van Vicker Inatoka Lini?

Habari  Bongomovies, Kwanza kabisa nawapongeza kwa kutupa fursa  na sisi mashabiki wenu kuweza  kutoa yetu ya moyoni kuhusu tasnia yenu ya filamu.

Kwanza kabisa mimi ni mshabiki namba moja kabisa wa “madame” (Wema Sepetu) tangu akiwa Miss na alipoingia kwenye tasina ya filamu ndipo nimezidi kumpenda zaidi, nimekuwa ni moja kati ya followers wake kwenye mitandao yote ya kijamii na zaidi huwa sikosi ile show yake ya “In My Shoes” nimeanza hiyo ili niweze kueleweka vizuri.

Swali langu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani