Uwanja Wa Mashabiki: Hakika Nampenda Wellu Sengo!!
Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo sana yuko na baby face na ile figure doh!acha niusemee moyo wangu,I LOVES YOU WELU SENGO
By: Munagwa Jr
Huu ni uwanja wako wewe shabiki kutiririka chochote kuhusu wasanii na tasnia nzima ya filamu....
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akR71IulTAKXmrnb4gG6XMBN-0g2Yg5mVLhnE8tFok7eRERJluFkk0KprxasRhhYJxbZ1fgoga8PYqsl0pqesXQY/WELLU.jpg)
WELLU SENGO NAHESHIMIKA KUWA MAMA
10 years ago
Bongo Movies03 May
Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu, Steven Nyerere
Saaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke wa pili au?? Yaan mkeo anavyokupenda!!! Sehemu zote muhimu au outing badala ya kutoka na mkeo unatoka na huyo....jana mliman city pia mlikuwa wote...sasa kama vipi tutambulishane otherwise wanawake tutaandamana!! Ole wako useme ni movie..... .projects .BongoMovies!!!
@sengomatilda 1. Steve ni mume wa mtu! 2. Familia yake inamuhitaji! 3. Mkewe hayuko tayari kuvunja ndoa yake 4.Wewe ni mrembo unastahili upate wako 5. Steve ana maneno matamu ya...
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani
Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.
Wakali kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.
Hii sio yakukosa madau!!!
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Leo Akiwa Anasherekea Siku Yake ya Kuzaliwa, Wellu Sengo Ameyasema Haya
Staa na mrembo wa nguvu kutoka Bongo Movies, Wellu Sengo leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa, kupitia ukurasa wake mtandaoni amefungua haya.
“What can i say.... im speechles... zaidi napenda kumshukuru mungu kwa kila pumz alioweza nitunuku from day 1 mpaka dakka hii... pili mama yangu kipenz kwakunilea ..kunitunza ..nakuwa nami all the way mpaka leo anaitwa bibi... zaidi ni kwa wote walionisimamia in all ….. i rem n cherish it all... my family.. much love kwenu...”- Wellu ameandika mara...
10 years ago
Bongo Movies13 Feb
Uwanja wa Mashabiki: Riyama Anakipaji Sio Ngekewa
“Yani Riyama dah. ..kiukweli katika top 5 zangu za bongo movie basi huyu nanafasi yake ktk hiyo top 5
huyu ana kipaji na sio ngekewa wallah tena ni hatariiii u know.
aki uvaa uhusika unaona kweli huyu ni kiboko anajua ku act na yuko serious na anachokifanya
huwa najiuza ile movie alio cheza kama chizi ni yeye au kalogwa kama chizi kweli
akicheza kulia analia mpaka kamasi linamshuka misha analilamba shikamo damwani”
By Matikibokoyao
Hii ni safu mpya, inatoa fursa kwa mashabiki wa filamu za...
9 years ago
StarTV30 Oct
Mashabiki wa soka wapungua Uwanja wa CCM Kirumba.
Kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na madiwani nchini Oktoba 25 pamoja na mchezo kati ya Yanga na timu ya Mwadui ya mkoani Shinyanga ni miongoni mwa sababu ambazo zimetajwa kuchangia mashabiki kutoingia katika uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mchezo wa ligi kuu baina ya Toto African ya Mwanza na JKT Mgambo
Huku Ligi kuu ikiwa imeingia katika raundi ya tisa ushindani mkali unazidi kuongezeka,
Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Toto African ya jijini Mwanza Godwin Aiko...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Uwanja wa Mashabiki: ‘Mkongomani’ Awaomba Wema na Kajala Kuyamaliza
Moja kwamoja kutoka Inbox, Gloria anatiririka.
Jambo bongo movie! Naitwa gloria, ni mukongomani naye ishi south africa. Napenda sana kazi zenu, tena sana..... Nawapendeni wote. Nina ombi moja, ninge penda muwa unganishe wasani wema sepetu,na kajala. Ahhhhh mimi nawapenda sana, na kila mara ninapo soma kwenye mitandao bifu yao iki endelea ahhhh roho ina niuma sanaaaaa. Naomba wema,amusamehe kajala. Hakuna bina damu aliye kamilika, wote tuna jaribiwa, lakini njia mbadala yaku shinda hayo niku...
10 years ago
Bongo Movies22 Feb
Uwanja wa Mashabiki: Nora Upo Wapi Dada Tumekumis
Wasanii wengi wamaigizo walikuwa wanafanya vizuri na kujipatia heshima kutokana na uigizaji wao ambo ulikuwa unabeba ujumbe na kuzingatia maadili.
Baada ya kuibuka wimbi la utengenezaji wa filamu, wengine waliendele na wengine hatujui wameshia wapi.
Kuna mwanadada ambae kiukweli sio mimi pekee bali jamii nzima inayofuatilia maswala ya sanaa ya uigizaji inamkumbuka mwanadada Nuru Nassro ‘NORA’ kutokana uwezo wake wa kuvaa uhusika. Jamani dada unajua tunakuhutaji kuliko unavyo...
10 years ago
Bongo Movies27 Feb
Uwanja wa Mashabiki: Saga la Ladie Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki mitandaoni kuhusiana na SAGA la Ladies Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga walioziona zote mbili.
Inasikitisha sana kama wasanii wetu wanaweza kufanya uhuni huu na kutuaminisha watanzania kwamba wametunga wao.
Binafsi nimeangalia muvi ya Ladie Vs Ricky Bahl mwaka 2011 na ni moja kati ya movie ya kihindi niliyoipenda kutokana na maudhui yaliyo kwenye movie hiyo.
Ricky Bahl alicheza kama Conman mtaalam aliyekuwa anawalaghai wadada mbalimbali kwa mapenzi ya dhati...