Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WELLU SENGO NAHESHIMIKA KUWA MAMA

Stori: Gladness Mallya HAPPY! Staa aliyeibuliwa na Shindalo la Vaa, Imba na Cheza Kama Rihanna lililoandaliwa na Kampuni ya Global Publishers, Wellu Sengo amefunguka kuwa anainjoi kuwa mama kwani ameanza kuheshimika. Staa aliyeibuliwa na Shindalo la Vaa, Imba na Cheza Kama Rihanna, Wellu Sengo akiwa na mwanaye. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Wellu alisema amejifungua mwanaye aliyempa jina la Valempia hivi karibuni japo bado...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja Wa Mashabiki: Hakika Nampenda Wellu Sengo!!

Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo sana yuko na baby face na ile figure doh!acha niusemee moyo wangu,I LOVES YOU WELU SENGO

By: Munagwa Jr

Huu ni uwanja wako wewe shabiki kutiririka chochote kuhusu wasanii na tasnia nzima ya filamu....

 

10 years ago

Bongo Movies

Wellu Sengo Adaiwa Kutoka na Mume wa Mtu, Steven Nyerere

Saaaasa????? @stevenyerere2 ndo umeoa mke wa pili au?? Yaan mkeo anavyokupenda!!! Sehemu zote muhimu au outing badala ya kutoka na mkeo unatoka na huyo....jana mliman city pia mlikuwa wote...sasa kama vipi tutambulishane otherwise wanawake tutaandamana!! Ole wako useme ni movie..... .projects .BongoMovies!!!

@sengomatilda 1. Steve ni mume wa mtu! 2. Familia yake inamuhitaji! 3. Mkewe hayuko tayari kuvunja ndoa yake 4.Wewe ni mrembo unastahili upate wako 5. Steve ana maneno matamu ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani

Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la  “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.

Wakali  kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na  Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.

Hii sio yakukosa madau!!!

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo Akiwa Anasherekea Siku Yake ya Kuzaliwa, Wellu Sengo Ameyasema Haya

Staa na mrembo wa nguvu kutoka Bongo Movies, Wellu Sengo leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa, kupitia ukurasa wake mtandaoni amefungua haya.

“What can i say.... im speechles... zaidi napenda kumshukuru mungu kwa kila pumz alioweza nitunuku from day 1 mpaka dakka hii... pili mama yangu kipenz kwakunilea ..kunitunza ..nakuwa nami all the way mpaka leo anaitwa bibi... zaidi ni kwa wote walionisimamia in all ….. i rem n cherish it all... my family.. much love kwenu...”- Wellu ameandika mara...

 

10 years ago

GPL

WELLU ANASA MIMBA TENA!

Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’. Stori: Waandishi Wetu
IMEVUJA! Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’, licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa ujauzito mwingine.Chanzo makini kinaeleza kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa wasanii wenye majina maarufu hapa nchini, ambao wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu sasa. Katika mawasiliano kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Je, unawezaje kuwa mwajiriwa kazini na mama bora nyumbani?

Malezi mazuri hayaji kwa siku moja; ni hatua kwa hatua na ni hatua zenye changamoto tele. Changamoto mojawapo ni kuwa mama wa familia na pia mwajiriwa. Mara nyingi utawasikia akina mama au wadada wenye watoto wakilalamika “Mwanangu sijakaa naye kwa muda mrefu, nimemisi mwanangu.” Sasa basi, ufanyaje ili uepukane na haya malalamiko?

 

10 years ago

Vijimambo

Mama Amuua Mwanae kisa kuwa na Masikio Marefu

Mama amemuua mwanae baada ya kutaka kumuondolea aibu ya kuwa na masikio makubwa.Inadaiwa mama huyo amesababisha kifo hicho akidhani kwamba mwanae akibaki na masikio makubwa yatamfanya akose raha maishani mwake kulingana na sheria za Uturuki atakabiliwa na kesi ya mauaji.Nuray Sacan mwenye umri wa miaka 37 alitoa kiasi cha fedha ili mwanae aweze kufanyiwa upasuaji kwenye hospital ya Gazi jijini Ankara lakini oparesheni hiyo haikuweza kufanikiwa baada ya masikio hayo kubaki katika hali ile...

 

11 years ago

Habarileo

Mama Kikwete ataka jamii kuwa karibu na yatima

Mama Salma KikweteJAMII ina jukumu la kuwatetea, kuwalinda na kuwasemea watoto yatima ambao ni hazina ya Taifa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu:Kuwa Mama ni Heshima Sio Kuzeeka, Nipo Njiani

Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael “LULU” ameamua kufunguka na kusema mtazamo wake kuhusu swala la wasichana kuogopa/kukataa kuzaa kwakuofia kuwa watazeeka.

“Kwa akili Yangu ndogo... Nadhani kuwa Mzazi(Mama)ni heshima kubwa na Sio kuzeeka kama wasichana wengi wanavyofikiria....! Shout Out kwa Kila mwanamke aliyefanikisha kupata Heshima Hiyo...! Heshima kwa Mama wote Duniani ….Wengine Tuko njiani Inshallah”

Lulu aliweka bandiko hilo mtandaoni  baada yakuweka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani