UWT DODOMA MJINI YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWENYE SEKTA YA AFYA NA ELIMU

Charles James, Michuzi TVKATIKA kuunga mkono juhudi za Rais Dk John Magufuli za kuwahudumia watanzania, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Dodoma Mjini umekabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh Milioni Mbili kwenye sekta ya Afya na Elimu wilayani humo.
Vifaa vilivyotolewa na UWT Wilaya ya Dodoma Mjini ni Mashuka 50 ya kujifunikia katika Kituo cha Afya Mkonze ambacho kilikua kinatumika kuhudumia wagonjwa wenye maambukizi ya ugonjwa wa Corona na vifaa vya kufanyia mitihani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
KATIBU UWT WILAYA YA DODOMA MJINI AONGOZA ZOEZI LA KUMDHAMINI RAIS MAGUFULI
Charles James, Michuzi TV
WANAWAKE wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Dodoma Mjini leo wamejitokeza kwa wingi kumdhamini Rais Dk John Magufuli katika fomu yake ya kuwania Urais kupitia chama hiko.
Zoezi hilo la ujazaji fomu limeongozwa na Katibu wa UWT Wilaya ya Dodoma Mjini, Diana Madukwa katika uwanja wa Jamhuri ambapo jumla ya wanawake 1,000 wamejitokeza kumdhamini Rais Magufuli.
Akizungumza na Michuzi Blog, Katibu huyo wa UWT Dodoma Mjini, Diana...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma
.jpg)
9 years ago
MichuziBayport yamuunga mkono Dr Magufuli kwa vitendo, yapaka rangi, yafagia shule ya msingi Hekima
Tukio hilo liliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Bayport, John Mbaga, pamoja na zaidi ya...
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Bayport yamuunga mkono Dr Magufuli kwa vitendo, yapaka rangi, yafagia shule ya msingi Hekim
Mkurugenzi Mkuu wa Bayport Financial Services, John Mbaga, akipaka rangi katika ukuta wa shule ya Msingi Hekima, iliyopo Tandale, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam jana mchana. Picha zote kwa Hisani ya Bayport Financial Services.
Meneja wa Oparasheni wa Bayport Financial Serviices, Charles Mgeta, akizungumza na waandishi wa habari juu ya taasisi yao kuamua kufanya usafi, kutunza mazingira na kuipaka rangi shule ya msingi Hekima, iliyopo Kata ya Tandale, Wilaya Kinondoni, jijini...
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji
Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...
9 years ago
Michuzi
Watakaokwamisha juhudi za Rais Dkt. Magufuli katika sekta ya elimu kukiona - Masaju





10 years ago
Michuzi
UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII




9 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI ALIPOLIHUTUBIA BUNGE MJINI DODOMA





5 years ago
Michuzi
SHANGWE, NDEREMO,VIFIJO VYATAWALA RAIS MAGUFULI AKIVUNJA BUNGENI MJINI DODOMA

Wakati Rais Magufuli akiwa katika Bunge hilo ambalo limehimitisha makukumu yake na kutoa nafasi sasa ya kuanza rasmi kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020,pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo...