Bayport yamuunga mkono Dr Magufuli kwa vitendo, yapaka rangi, yafagia shule ya msingi Hekima
TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na utoaji wa mikopo, jana imemuunga mkono kwa vitendo Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi, kutunza mazingira na kupaka rangi shule ya Msingi Hekima, iliyopo Kata ya Tandale, wilaya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, huku wakianza kwanza kusafisha eneo la Makao Makuu ya ofisi yao, kabla ya kuelekea hapo.
Tukio hilo liliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Bayport, John Mbaga, pamoja na zaidi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Bayport yamuunga mkono Dr Magufuli kwa vitendo, yapaka rangi, yafagia shule ya msingi Hekim
Mkurugenzi Mkuu wa Bayport Financial Services, John Mbaga, akipaka rangi katika ukuta wa shule ya Msingi Hekima, iliyopo Tandale, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam jana mchana. Picha zote kwa Hisani ya Bayport Financial Services.
Meneja wa Oparasheni wa Bayport Financial Serviices, Charles Mgeta, akizungumza na waandishi wa habari juu ya taasisi yao kuamua kufanya usafi, kutunza mazingira na kuipaka rangi shule ya msingi Hekima, iliyopo Kata ya Tandale, Wilaya Kinondoni, jijini...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DOYl7_-lIfE/Uvfgb5jOVLI/AAAAAAAAdg0/wm9n4z7rbnE/s72-c/unnamedG.jpg)
TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR
Miradi yote ina lengo kuu la kupambana na magonjwa yanayoweza kuzuilika kama Magonjwa ya tumbo na...
11 years ago
MichuziTAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR ES SALAAM
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wYQI3bh0VfA/XuU8-M2Uo6I/AAAAAAALtvQ/sgp0AxrsKMYLkL03N6THoFKq_9kqvKTTwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-13%2Bat%2B9.53.09%2BPM.jpeg)
UWT DODOMA MJINI YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWENYE SEKTA YA AFYA NA ELIMU
Vifaa vilivyotolewa na UWT Wilaya ya Dodoma Mjini ni Mashuka 50 ya kujifunikia katika Kituo cha Afya Mkonze ambacho kilikua kinatumika kuhudumia wagonjwa wenye maambukizi ya ugonjwa wa Corona na vifaa vya kufanyia mitihani...
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
China yamuunga mkono Leung
10 years ago
Habarileo11 Apr
Chadema Moro yamuunga mkono Mbunge
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Morogoro, kimepanga kufanya maandamano makubwa kuunga mkono hoja ya Mbunge wa Jimbo la Morogoro, Abdulaziz Abood (CCM) juu ya matumizi tata ya Sh milioni 720 za mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi yaendayo mikoani eneo la Msamvu.
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
![](https://3.bp.blogspot.com/-8ODlrrxpUIo/VDRJ42tYilI/AAAAAAAAOt4/NIP3B_E-UbQ/s1600/IMG_8488fnb.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ScVFR97yrXU/VDRKJLbdYFI/AAAAAAAAOuA/s9-IdQPPTQU/s1600/IMG_8950fnb.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QAAKciogh_s/Xto0r2DQCdI/AAAAAAALssI/H7P5QrMZdo0ERp9LbyjhQNB-6-WFkaxugCLcBGAsYHQ/s72-c/EDdEGvdWwAEj_j9-660x400.jpg)
RAIS MAGUFULI ASEMA TUMEISHINDA CORONA, SHULE ZA CHEKECHEA,MSINGI MBIONI KUFUNGULIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-QAAKciogh_s/Xto0r2DQCdI/AAAAAAALssI/H7P5QrMZdo0ERp9LbyjhQNB-6-WFkaxugCLcBGAsYHQ/s400/EDdEGvdWwAEj_j9-660x400.jpg)
RAIS Dk.John Magufuli amesema kwamba Corona imepungua kwa kiasi kikubwa nchini na hivyo shule za chekechekea na shule za msingi siku za hivi karibuni.
Ametoa kauli hiyo leo Juni 5 Mjini Dodoma wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) uliofanyika Uwanja wa Jamhuri na kuhudhuria na viongozi wa ngazi mbalimbali Serikalini pamoja na walimu wa kada zote.
Dk.Magufuli ametumia nafasi hiyo kueleza kuwa anamshukuru Mungu na anawashukuru walimu...