Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzee Tanzania ni ‘majanga’

WAHENGA walisema ”ujana ni maji ya moto”mimi ninaamini usemi  huu una ukweli, kwani kipindi cha ujana huwa kinapita kama maji ya moto yanavyopoa na kurudi kuwa baridi ambayo ndio asili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

uzee mwisho wake ....?

Mlioko huku wote ma-Bebi...tehe tehe tehe....Inasemekana wazee wa Chalinze wamekata rufaa kutaka mpaka uwe Morogoro....

 

10 years ago

GPL

NISHA AHOFIA UZEE

GLADNESS MALLYA/mchanganyiko11 MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alitumia muda wake mwingi katika maisha yake ya ujana kwa  kujirusha, amesema sasa yatosha na kwamba huu ni muda muafaka kutengeneza maisha yake ya baadaye. Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akipiga stori na gazeti hili, Nisha alisema kwa sasa ameamua kuachana na maisha hayo kwa vile umri unakwenda na ni vyema...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

SASA HIVI UZEE MWISHO MSATA!

INAKUWA nini masela na maduu wa ukwehe? Ama nini? Kipande hii ni kama lasti wiki arifu. Chuma kingine kikali Bongo Muvi kaka mkubwa kabisa Tyson naye karesti ini pisi chaliiangu ndo maana dizaini kama mizuka ipo dauni kimtindo. Umepata lesoni gani mnyama wangu baada ya watu wetu wa nguvu kudedi fastafasta? Umkumbuke Saa Godi taimu yote katika kila mbishe unayopiga. Karibu kwenye hizi stori tamu za kitaani kwetu mazee. Tudei ngoja...

 

10 years ago

GPL

UNAKULA UJANA, UZEE UTALIWA NA NANI?-2

Kama unakumbuka vizuri tuliishia pale ambapo mwanamke anamtamani mwanaume mwenye gari ambaye anamtumia kisha anammwaga kisha anatafuta mvulana mwingine ili aendelea kuwa juu kwenye sekta ya starehe kama alivyokuwa awali.
TUENDELEE… Yule mwanaume mwenye gari anammwaga sababu anaamini kesho atapata mwingine ambaye atakuwa na kiu ya kupenda gari kama alivyolipenda yule wa awali. Staili ya maisha kwa mwanaume wa dizaini hiyo...

 

10 years ago

GPL

UNAKULA UJANA, UZEE UTALIWA NA NANI?

BILA shaka wapenzi wasomaji wa safu hii mko vizuri na mko tayari kupokea mambo mapya baada ya wiki iliyopita kumaliza somo letu lililohusu mchepuko. Tulijifunza kwamba mchepuko una madhara kwa pande zote mbili, mwanamke na mwanaume na kupata jibu la pamoja kwamba ni vyema wapendanao wakawa waaminifu kwani hakuna jipya katika mapenzi. Wiki hii tunajadili mada mpya ambayo inahusu ujana. Ujana ni sehemu ambayo kimsingi ina...

 

11 years ago

GPL

AMA KWELI UZEE MWISHO CHALINZE!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
Amakweli dunia imekwisha! Watu wa Dar es Salaam wanasema uzee mwisho Chalinze, Dar es Salaam kila mtu baby, kauli hiyo ilitimia usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita baada ya mmiliki wa Gesti ya GLP ya Mabibo Mwisho jijini Dar es Salaam, Amos Makelle kunaswa kitandani usiku wa manane na mfanyakazi wake aitwae Tina. Babu Amos Makelle baada ya kunaswa akiwa kitandani  na mfanyakazi wake aitwae...

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga


 Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani