Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


uzinduzi cha chama NETEVE kinachojihusisha na mambo ya utamaduni wa Afrika nchini Ubelgiji

 Mheshimiwa Tim Vandenput Meya wa kitongoji cha Hoeilaart nchini Ubelgiji akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa chama cha NETEVE,wa kwanza kushoto ni Rais wa chama hicho Madame Oliva Butoyi akishuhudia uzinduzi huo.wengineo ni wanachama wanaounda umoja huo,Neteve ni chama kinachojihusisha na mambo ya tamaduni za nchi mbalimbali toka barani Africa.Wanachama wa Neteve wakipiga makofi kushangilia uzinduzi rasmi wa umoja wao pale Mheshimiwa Tim Vandenput alipokata utepe kukizundua chama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Chama cha utamaduni wa nchi mbalimbali za bara la Afrika ‘NETEVE’ chazinduliwa Ubelgiji

DSCF1144

Mheshimiwa Tim Vandenput Meya wa kitongoji cha Hoeilaart nchini Ubelgiji akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa chama cha NETEVE,wa kwanza kushoto ni Rais wa chama hicho Madame Oliva Butoyi akishuhudia uzinduzi huo. Wengineo ni wanachama wanaounda umoja huo, Neteve ni chama kinachojihusisha na mambo ya tamaduni za nchi mbalimbali toka barani Afrika.(Picha na maelezo toka Maganga One Blog).

DSCF1149 (1)

Wanachama wa Neteve wakipiga makofi kushangilia uzinduzi rasmi wa umoja wao pale Mheshimiwa Tim...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA CHAMA KISICHO CHA KISERIKALI NCHINI UBELIGIJI

 Mheshimiwa Tim Vandenput Meya wa kitongoji cha Hoeilaart nchini Ubelgiji akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa chama cha NETEVE,wa kwanza kushoto ni Rais wa chama hicho Madame Oliva Butoyi akishuhudia uzinduzi huo.wengineo ni wanachama wanaounda umoja huo,Neteve ni chama kinachojihusisha na mambo ya tamaduni za nchi mbalimbali toka barani Africa.Wanachama wa Neteve wakipiga makofi kushangilia uzinduzi rasmi wa umoja wao pale Mheshimiwa Tim Vandenput alipokata utepe kukizundua chama...

 

9 years ago

Michuzi

PAUL MAKONDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAPISHI WA KEKI NCHINI

Mkuu wa wilaya ya kinondoni, PAUL MAKONDA anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa  chama cha wapishi wa keki nchini kitakachojulikana kama  TANZANIA CAKES BAKERS ASSOCIATION.

Akizungumza na  waandishi wa habari  jijini DSM, mwenyekiti wa muda wa umoja huo PHILIP MBONDE amesema umoja huo utaweza kuwaunganisha wapishi wa keki na wanaojishughulisha na biashara ya cake nchini na kuweza kujumuika pamoja katika majukumu mbali mbali.

“ Hili ni jambo jipya hapa nchini, wapo wajasiriamali...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAMUAGA RASMI BALOZI WA UBELGIJI ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju akitoa hotuba wakati wa kumuaga Balozi wa Ubelgiji ambaye amemaliza muda wake wa kazi hapa nchini, Mhe. Adam Koeler huku Balozi huyo (wa kwanza kulia waliketi) na wageni waalikwa wakimsikiliza. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Julai, 2015. Katika hotuba yake Balozi Kasyanju alimsifu Balozi Koeler kwa kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ubelgiji.

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WATEMBELEA KIJIJI CHA UTALII WA UTAMADUNI AFRIKA KUSINI CHA LESEDI

Mshindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 Gerald Kitabu (The Guardian) akisalimiana na kijana wa Kizulu katika kijiji cha Utamaduni cha Lesedi walipotembelea ili kujifunza utalii wa kiutamaduni nchini Afrika Kusini. Mshindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 Vedasto Msungu (ITV) akisalimiana na kijana wa Kizulu katika kijiji cha Utamaduni cha Lesedi walipotembelea ili kujifunza utalii wa kiutamaduni nchini Afrika Kusini. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 kutoka kulia Gerald...

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Urais wa Chama cha CHAUMMA Komba Wapya Rahaleo.

Mgombea Urais kupitia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwasili katika viwanja vya Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni yake katika viwanja vya Komba Wapya rahaleo kuzindua kampeni yake ya kugombea Urais wa Zanzibar. akiwasalimia Wananchi akiwapungua mkono.Mgombea Urais kupiia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa kampeni yake,Katibu wa Wanawake Taifa Bi Salma Mohammed akizungumza wakati wa mkutano huo wa uzinduzi wa Kampeni ya Urais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani