Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA FILAMU YA MSIMU WA KWANZA WA TANZANIA MOVIE TALENTS

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE

 Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia kwake n Wastara Juma na Salama "Sandra" Salimin.   Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa tarifa ya kukanusha taarifa za uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kuanzia kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) , Katibu wa TAFF mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Shindano la Tanzania Movie talents (TMT)

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi. Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwajibika katika Jukwaa la Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania Movie Talents yaiva jijini Dar

TMF

KARIBU 
UCHUKUE 
FOMU 
NI 
BUREEEEEEEEE










Baada ya Kumaliza shindano la Tanzania Movie Talents Kwenye Kanda tano za Tanzania yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya Pwani ambayo inahusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Mkoa wa Pwani kushiriki kwenye shindano la Kwanza na La aina yake ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati likiendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA MOVIE TALENTS YAIVA JIJINI DAR ES SALAAM

  KARIBU UCHUKUE FOMU NI BUREEEEEEEEE Baada ya Kumaliza shindano la Tanzania Movie Talents Kwenye Kanda tano za Tanzania yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya Pwani ambayo inahusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Mkoa wa Pwani kushiriki kwenye shindano la Kwanza na La aina yake ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati likiendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions...

 

10 years ago

GPL

10 BORA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WAPATIKANA

Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakati ilipokuwa ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi.
 Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT)...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tanzania Movie Talents yaanza mkoani Mbeya

Untitled   Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani Mbeya.   Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya kuhudhuria usaili wa Shindano la Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa usaili.    Washiriki waliojitokeza kwaajili ya kushiriki mashindano yya Tanzania Movie Talents wakijaza fomu kwaajili ya usaili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani