UZINDUZI WA ISHI KISTAA ULIVYONOGA ESCAPE ONE JIJINI
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa akiteta jambo na msaani wa bogofleva Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA ISHI KISTAA WA VODACOM ULIVYONOGA ESCAPE ONE JIJINI
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa akiteta jambo na msaani wa bogofleva Linah Sanga wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii wakiishi ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA au STAR kwenda...
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPL10 years ago
GPLSHOO YA USIKU WA ISHI KISTAA YAFANA DAR
Baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko (wa kwanza kutoka kushoto), Linah,Barnaba, Joh Makini wakiwa kwenye pozi na mmoja wa mashabiki wao ndani ya Ukumbi wa Escape One katika shoo ya Usiku wa Ishi Kistaa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. Msanii wa Hip Hop, Izzo Business akisaini kwenye moja ya bango la shoo hiyo muda mfupi baada ya kuwasili mahali hapo.… ...
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.  Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi...
10 years ago
GPLMNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR
Keki maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna...
11 years ago
GPLSHEREHE YA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE YAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akikata Keki kwa Furaha Kusheherekea miaka 10…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania