Van Gaal:Ruhsa kutumia pesa atakavyo
Mkuu wa manchester united Louis van Gaal, amepewa ruksa ya kutumia pesa bila ukomo katika kusajili wachezaji anawataka ili kuimarisha kikosi chake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
Mkufunzi wa timu ya Manchester Louis van Gaal amesisitiza kuwa hakuchukuwa jukumu kubwa la kumboresha Mourinho
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hatufikirii ubingwa:Van gaal
meneja wa Manchester United Louis van Gaal amegoma kujitumbukiza katika mbio za ubingwa
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
VAN GAAL : FIFA IMETUONEA
Mkufunzi wa Uholanzi Louis va Gaal ameikashifu ratiba ya mechi za mkondo wa pili akisema inapendelea mataifa mengine
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Manchester United ‘wamkuna’ Van Gaal
Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Everton umemfurahisha kocha wa Manchester United, Louis van Gaal akiueleza kuwa umemsaidia kuwaimarisha kiakili wachezaji wake, ambao kwa sasa wanajiamini.
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Van Gaal: Sioni haja ya kujiuzulu
Meneja wa Manchester Louis van Gaal, amesema haoni haja ya kujiuzulu baada ya timu yake kutoka sare ya 0-0 na Chelsea uwanjani Old Trafford.
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Van Gaal; Man U haihitaji mshambuliaji
Meneja wa Manchester United amesema kwamba hana haja ya kuimarisha washambuliaji wake
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Van Gaal: Tunaweza kuimarika 2016
Meneja wa Manchester United Louis van Gaal anaamini wanaweza kutumia vyema ushindi wao dhidi ya Swansea kujiimarisha 2016.
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Van Gaal aambulia kichapo Old Trafford
Louis van Gaal aliambulia kichapo cha 2-1 dhidi ya Swansea katika mechi yake ya kwanza ya ligi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania