Vanessa Mdee afanya kazi na hit maker wa ‘Duro’ Tekno wa Nigeria
Vanessa Mdee ni msanii ambaye hupenda kupika mambo makubwa kimya kimya bila kuoesha hata dalili mpaka anapokaribia kupakua ndio huweka wazi. Lakini safari hii amefanya tofauti kwa kutupa taarifa mapema tutarajie makubwa kutoka kwenye ziara yake ya Nigeria.
Baada ya kushinda tuzo ya AFRIMA 2015, Jumapili iliyopita Lagos, Nigeria ameutumia vizuri muda wake aliokaa nchini humo kufanya kazi na wasanii na ma-producer wa Naija.
Baada ya kushare na mashabiki wake kuwa amerekodi wimbo wa hit maker...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Baada ya hit ya ‘Duro’, mkali wa Nigeria time hii amekuja na hii nyingine…(+Audio)
Ni time ya ku enjoy single mpya iitwayo Maria kutoka kwa mkali mwenye hit single ya ‘Duro’ Tekno akiwa amemshirikisha Selebobo. Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza single hiyo mpya Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote […]
The post Baada ya hit ya ‘Duro’, mkali wa Nigeria time hii amekuja na hii nyingine…(+Audio) appeared first on...
9 years ago
Bongo517 Nov
Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown
![Vee na Run](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Vee-na-Run-300x194.jpg)
Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...
10 years ago
Bongo530 Jan
Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako
9 years ago
Bongo516 Nov
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee washinda tuzo 4 za AFRIMA 2015 Nigeria
![d n v](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/d-n-v-300x194.jpg)
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour.
Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best...
10 years ago
Bongo518 Mar
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na Awilo, Iyanya, Burna Boy, Nigeria mwezi ujao
10 years ago
Bongo528 Dec
Diamond na Vanessa Mdee waing’arisha tena Tanzania kwa kushinda tuzo za Afrima Nigeria
9 years ago
Bongo512 Oct
Video: Vanessa Mdee — Never Ever
11 years ago
CloudsFM20 Jun
New Video: Vanessa Mdee - Come Over
Baada ya kuisubilia kwa hamu kubwa sana video ya wimbo wa Come over toka kwa Vanessa, imeachiwa siku ya jana kupitia account ya Youtube ya Vanessa mdee chukua muda wako kuiangalia....
10 years ago
Bongo519 Dec
New Video: Tekno Miles (Nigeria) — Anything