VIATU VYA URAIS 2015 VINAVYO- MWENEA NA KUMPWAYA
![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiIIZ592GQku5*dQaieehpzknZcQJzcWsEkIYyuRYnOsJbiBPthYuJykbyYNPazM5ZPEDgUQyzD7D-PFstTOI819/nchemba.jpg?width=650)
NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba. NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, anatajwa kutaka kuvaa viatu vya urais, amrithi Jakaya Kikwete; awe kiongozi wa taifa wa awamu ya tano. Kumkatalia au kumkubali kunahitaji hoja na siyo maneno. Kwa kuwa Mwigulu anajipitishapitisha kuwania nafasi hiyo ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kina vigezo ambavyo lazima avikidhi. Moja ya vigezo hivyo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
VITA VYA URAIS 2015… Serikali yagawanyika
MHEMUKO wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo viongozi wa serikali kukimbilia kutangaza nia ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete mwakani, umezigawa taasisi mbalimbali za serikali, binafsi na umma hivyo...
10 years ago
Dewji Blog15 Jan
Mmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli ya ushonaji viatu
Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.
Eliza Hamad, akiwa na mfanyakazi mwezie Bw.Hilari Kimario...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Viatu vya rushwa vinampwaya JK
UKWELI huu waweza kuwaudhi wanafiki na mafisadi lakini naomba tuvumiliane kwamba Rais Jakaya Kikwete kwa muda wa miaka tisa aliyokaa madarakani vita ya rushwa imemshinda. Kama tungetumia mfano wa viatu,...
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
Prof.Muhongo aombwa kugombea urais 2015 na umoja wa vyama vya wanafunzi elimu ya juu
Umoja wa Vyama vya wanafunzi elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjaro na Arusha wajitokeza kumshawishi Prof. Sospeter Muhongo kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog).
Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana Charles Ngereza kutoka chuo cha Uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi Prof Sospeter Muhongo kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo...
9 years ago
Mwananchi18 Oct
Wanasiasa watakiwa ‘kuvaa viatu’ vya Filikunjombe
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Nani wa kuvaa viatu vya Edward Sokoine?
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Rais Magufuli, epuka viatu vya waliokutangulia utaharibikiwa
TUMEJIONEA na kuthibitisha wenyewe wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita, jinsi umma wa Kit
Joseph Mihangwa
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Mgimwa na ndoto za viatu vya baba yake Kalenga
GODFREY Mgimwa ni mwanasiasa kijana ambaye jina lake limevuma hivi karibuni baada ya kujitokeza kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, ambalo lilikuwa linawakilishwa na baba...