Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli, epuka viatu vya waliokutangulia utaharibikiwa

TUMEJIONEA na kuthibitisha wenyewe wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita, jinsi umma wa Kit

Joseph Mihangwa

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli ya ushonaji viatu

001

Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu  na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

002

Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.

003

Eliza  Hamad, akiwa na mfanyakazi mwezie Bw.Hilari Kimario...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viatu vya rushwa vinampwaya JK

UKWELI huu waweza kuwaudhi wanafiki na mafisadi lakini naomba tuvumiliane kwamba Rais Jakaya Kikwete kwa muda wa miaka tisa aliyokaa madarakani vita ya rushwa imemshinda. Kama tungetumia mfano wa viatu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Nani wa kuvaa viatu vya Edward Sokoine?

Nataka niseme bila kumung’unya maneno, kwamba anatakiwa waziri mkuu mwingine wa kuvaa viatu vya waziri mkuu wa zamani, marehemu Edward Sokoine.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasiasa watakiwa ‘kuvaa viatu’ vya Filikunjombe

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza waombolezaji kuuaga mwili wa mgombea ubunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe ambaye wanasiasa wametakiwa kuvaa ‘viatu vyake’ kuiga mema aliyokuwa anayatenda.

 

10 years ago

GPL

VIATU VYA URAIS 2015 VINAVYO- MWENEA NA KUMPWAYA

NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba. NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, anatajwa kutaka kuvaa viatu vya urais, amrithi Jakaya Kikwete; awe kiongozi wa taifa wa awamu ya tano. Kumkatalia au kumkubali kunahitaji hoja na siyo maneno. Kwa kuwa Mwigulu anajipitishapitisha kuwania nafasi hiyo ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kina vigezo ambavyo lazima avikidhi. Moja  ya vigezo hivyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgimwa na ndoto za viatu vya baba yake Kalenga

GODFREY Mgimwa ni mwanasiasa kijana ambaye jina lake limevuma hivi karibuni baada ya kujitokeza kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, ambalo lilikuwa linawakilishwa na baba...

 

11 years ago

Mwananchi

Bob Junior; Msanii ‘aliyevaa viatu’ vya baba yake

Samaki mkunje angali mbichi, akishakauka atavunjika. Tafsiri ya usemi huu haimaanishi kutumia nguvu, badala yake maarifa yatumike kwa namna yoyote ili kumfundisha mtoto afuate mstari mwema wa maadili, utakaokuwa neema katika maisha yake ya baadaye.

 

10 years ago

Raia Tanzania

JUMA KAPONDA: Ninatosha kuvaa viatu vya Prof. Mwandosya

JOTO la uchaguzi mkuu linaendelea kushika kasi, huku kiu ya mabadiliko ikiwagusa wengi, baadhi yao wakitangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.

Mwalimu Juma Kaponda, ambaye ni Ofisa Elimu ya Msingi Mkoa wa Dodoma, ametangaza nia kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Rungwe Mashariki.  Fuatana na mwandishi wetu Christina Mwagala katika mahojiano haya, ili kujua kwa undani dhamira ya Kaponda.

Raia Tanzania: Msomaji angependa kufahamu, wewe...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Cristiano Ronaldo aonesha viatu vyake vipya vya CR7

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameonesha mkusanyiko wa viatu vyake vipya vya CR7. Awali Ronaldo ameshawahi kutoa nguo zake za ndani, mashati na perfume. Viatu hivyo vinapatikana kwa paundi 70. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani