Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vicent Nyerere: Tutamchagua Lowassa hivyohivyo

Mwenyekiti wa Chadema Musoma Mjini, Vicent Nyerere amesema Mkoa wa Mara utamchagua Edward Lowassa kuwa rais licha ya madai kwamba ni mgonjwa ili aweze kushughulikia masuala ya hospitali na kumwambia mgombea huyo kuwa: “Wanasema wewe mwizi, sisi huku tumesema tutamchagua mwizi na kumfungia Ikulu miaka 10 atumikie wananchi.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maswali 10 kwa mbunge wangu: VICENT NYERERE

>Tuliahidi elimu bure kuanzia chekechea hadi kidato cha sita kwa ngazi ya jimbo, hatukufanya hivyo zaidi ya kupunguza ada kwa kuwa tulitegema kuunda Serikali na kupata mawaziri ila haikuwa hivyo.

 

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI ULIVYOPIGWA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Bondia Said Mundi kulia akimtupia konde Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliopita Mundi alishinda kwa point mpmbano uho wa raundi sita Mabondia Vicent Mbilinyi kushoto na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika wishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa ndani wa taifa Mundi alishinda kwa point Mabondia Vicent Mbilinyi kushoto na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao...

 

9 years ago

Michuzi

BONDIA VICENT MBILINYI AMPIGIA MIKWALA DEO NJIKU KUPAMBANA DESEMBA 25

BONDIA VICENT MBILINYI

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Vicent Mbilinyi amesaini mkataba wa kuzipiga na Deo Njiku wa Morogoro siku ya Desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri morogo wakisindikiza mpambano wa Fransic Cheka na Thomasi Mashali mpambano uho wa raundi sita
utakuwa wa kwanza kwa bondia Mbilinyi kucheza mkoa wa morogoro akizungumzia mpambano huo bondia huyo amesema kuwa anamjua mpinzani wake vizuri kutokana na ukongwe wake kwa kuwa alianza zamani kupigana ata hivyo mimi nina jiamini na...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA VICENT MBILINYI 'SUGU' AJIFUA KUMKABILI KEIS AMAL MEI 30

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi 'Sugu'  ameingia kambini kwa ajili ya mpambano wake mwingine utakaofanyika mei 30 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba ambapo atakabiliana na Keis Amal kutoka Mzazi GYM 

bondia huyo anaenolewa na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ameingia kambini jana kwa ajili ya mpambano uho wa raundi sita ambapo siku hiyo mpambano mkubwa utakuwa ni kati ya bondia Fransic Cheka na Kiatchai Singwancha . kutoka
Thailand

mpambano...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI WA TANGA KUPIGANA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA


Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpaqmbano wao wa kesho jumamosi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi sita Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipozi kigagwe na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya juni 6 katika uwanja wa ndani wa taifa Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Said Mundi wa Tanga kushoto ni mratibu wa mpambano...

 

10 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA MASHUHURI MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO VICENT LASWAI APANDA MLIMA KILIMANJARO

Mfanyabiashara mashuhuri katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Vicent Laswai akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofsi za Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Mfanyabiashara Vicent Laswai akijadiliana jambo na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) ,Erastus Rufungulo kabla ya kuaza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro. kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya Topi Raisen Richard...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani