Video: Tarsis Masela — Usingizi
Video mpya ya msanii Tarsis Masela wimbo unaitwa “Usingizi” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/YQQVaVaSV1c/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tztDqFY5VK8/VEeqRqxpxqI/AAAAAAAGsqQ/YnYIRiiUYsk/s72-c/DSCF9964.jpg)
Mwanamuziki Tarsis Masela kuzindua albamu yake ya kwanza Novemba 21
![](http://3.bp.blogspot.com/-tztDqFY5VK8/VEeqRqxpxqI/AAAAAAAGsqQ/YnYIRiiUYsk/s1600/DSCF9964.jpg)
Akizungumza na wanahabari jijini dar leo Masela, ambaye pia ni mwanamuziki na Rais wa bendi ya Akudo, alisema kuwa albamu hiyo itakuwa na nyimbo saba na zina ujumbe mbalimbali ambao unalenga kuelimisha jamii.
Masela alizitaja nyimbo zilizoko katika albamu hiyo...
10 years ago
MichuziAkudo Impact, Mashujaa Music na Jahazi Modern Taarab kusindikiza uzinduzi wa Albam ya Tarsis Masela
Akizungumza jijini Dar es salam leo , Meneja wa mwanamuziki huyo, Ray Matata, alisema kuwa maandalizi ya uzinduzi huo yamekamilika na bendi zote tatu zimethibitisha kutoa burudani siku ya uzinduzi...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9aQf-qs4m5xV7PVeF*zFWk5LouW8SkB7MCYi2ZECkk5oUq4tSKSrpSVjw9fl2XMJ6zddly*fPtTHqvWweu5YrzWTL2-l*gu0/mpeke.jpg?width=650)
OYAA MASELA... YATIMA HADEKI!
Wanangu wa kitaani kwa fasi ya kijiweni inakuwa nini wazazi wenyewe? Si ni mpango mzima? Basi barida. Kama vepe sogea kwa saidi hii upate maudambwidambwi au mnabonga nene arifu? Basi mia! Welikamu kwa sana majembe yangu. Wanangu nasikia kitu cha matumbo joto kwa wanene kwenye sekta nyeti kwa gavamenti kozi jamaa hakai kwa ofisi kama viongozi wengine. Ishu ni kuwashtukiza tu wana kuona kama mingo zinakwenda kimpango au magumashi?...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o-1NtXzEejLwUT8IqSYbTBYlK1J5-EMNriGZ5*clZACfy-*38pf7gngoLgFWrywNtRlp4AQj3D5o92-gvzoOZ1EI-YCIPvxF/mpeeetu50.jpg)
OYA MASELA... SAILENTI MESEJI SENTI!
Oya masela inakuwaje hapo kwa fasi ya kitaa? Ama nini? Kipande hii mia arifu. Kama vipi tupige dauni mastori moo ya yule misi bomba wa mwaka huu na almasi ambaye alikula za uso pale Lidazi daadeki.
Kilinukaje? Unaleta nyodo kwa watoto wa mbwa? Utakula mayai viza fasta arifu. Unamanya kwamba wanaokupaisha ndo haohao watakaokupiga dauni mwana? Eti nabii hakubaliki kwao? Teeh…teeh! Kaa humu wewe upate kitu roho inataka....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7Lvt6jcEK*DEa-pQb0JBAT0iUJMFDS5CSuWIOqJMU0m6LkA7gKAVC8vWmQvMqV2Q08Mz*xvQkfpaXAKoro-US0FD/mpekecopy.jpg)
OYA MASELA KILEJI MOJA HIYO!
Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ebana maandalizi ya kitu cha mnuso wa Eksimasi yakoje? Maana kama sielewielewi hivi. Naona pipo wapo bize kinoma hata hatupeani michongo kama ishu itakuwaje wazazi? Tangu tulipomingo lasti wiki kumekrosi mambo kibwena hadi tudei tunamiti hapa jamvini. Kwanza kulikuwa na mchongo wa Mtani Jembe dheni zikaibuka ishu za mauchaguzi za serikali za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMP8UqG5mNt7hYsQ5ozVtysTcLku*3rHMYjknjAAaOhKLt0y-JmkNJhiWT9CgdBJowYiEIdltSUTfPwcmKhGfTzP/mpeke90.jpg)
OYA MASELA KAZI YA KICHWA SI KUFUGA NYWELE!
Oyooo…niaje masela hapo kwa ndichi ya kitaa cha kati? Ama nini? Inakuwaje wanangu wa Roki Siti? Kitaa hii Bongo tambarare aisee arifu. Piga dauni ishu za mapolitiksi…sijui Ukawa wamejoiniana wakawa kitu kimoko. Basi barida! Chamsingi laifu la washkaji liwe bomba na pipo wainjoi. Hayo mengine tunawaachia maza na dingi wafanye yao. Ebana eee… kuna stori moko linawatachi mashori hawahawa ambao makachaa wamezoe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxbX85-TIi1ZPfjlqYI9WS*wD*5Yx8dkqF6Fn2GCcj4B94WJ3Y443lD4rIjc8jJw-kp4AfdHRTTis3F9xxOKOCPp/mpekeec.jpg)
OYA MASELA SASA HIVI NI MWENDO WA VIPARA!
Mambo vipi wanangu wenyewe? Mzuka? Kitaa hiyo kwa ndichi hapo kati inakuwa nini? Kipande hii haiwi kitu. Hapa vumbi tu kama vipi karibu kwa jamvini rede kukisanua. Kwani kuna tatizo? Hakuna tatizo!
Festi sharauti ziende kwa masela na washikaji zangu wote mlioibuka pale kati Uwanja wa Taifa kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini. Aisee siyo sekreti ilikuwa mzuksi hatare sana. Bata zilipigwa hadi kuku wakaona mawivu daadeki! Bigi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD518c6I*SnAUFzcC02JCrvwyh0sGogR3ak*BLw60ttlAsudUzhhXhBfpn1VGL0viSiDsfJ5k4YKnbpbDE2PmxTgcD/mpeeekks.gif?width=650)
OYA MASELA SUMU HAIJARIBIWI KWA KUIONJA!
Niaje…niaje watu wangu wa nguvu? Inakuwa nini sasa hapo kwa krosi mbaya ya kitaa? Kipande hii mtu fidero jeshi la mtu mmoko ndo kama hivo nipo kwa mahewa kukisanua aisee. Kwani kuna problemu? Basi barida. Wanangu jisogezeni hapa kwa jamvini tupate mastori moo. Mambo ya politiksi kama vile yanatumiksi, ngoja tusikilizie kitu cha uchaguzi maana wana si mmesha-jiandikisha? Kama hukujiandikisha acha kuishi kimbululambulula...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania