Video 2 fupi za comedy:Mrembo hatoki bila kupaka make – up, Warembo wanapenda wanaume wa namna gani?, basi zicheki hapa..
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu Mrembo hatoki bila kupaka make-up na cha pili kinahusu warembo wanapenda Wanaume wa namna gani ebu bonyeza play hapa chini 😂😂😂 Mrembo hatoki bila kupaka make-up !! mtag muhusika wako A video posted by millard ayo (@millardayo) […]
The post Video 2 fupi za comedy:Mrembo hatoki bila kupaka make – up, Warembo wanapenda wanaume wa namna gani?, basi zicheki...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qj_Oa3FW7og/U1dbhRvRqNI/AAAAAAAFccc/vNTMW3OJp_Y/s72-c/New+Picture+(8).bmp)
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Video 3 fupi za comedy: Dalali muongo wa nyumba, girlfriend asiejua kumpikia boyfriend na mwizi
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa chini ni cha dalali wa nyumba ambaye ni mjanjamjanja ila aliumbuka pale alipopeleka Wateja kwenye mtaa wenye nyumba iliyowazi, akawa anawaambia jinsi huo mtaa ulivyo salama lakini kinaachoonekana kwenye video ni tofauti na anachosema. Unapokutana na […]
The post Video 3 fupi za comedy: Dalali muongo wa nyumba, girlfriend asiejua kumpikia boyfriend na mwizi appeared...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka na cha pili kinahusu Mwizi wa gari alivyotegwa. Pale Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka… A video posted by millard ayo (@millardayo) on Dec 15, 2015 […]
The post Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria...
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Utafiti:Wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
HUDUMA YA AIRTEL MONEY HATOKI MTU HAPA YAPOKELEWA VYEMA NA WATANZANIA
10 years ago
Vijimambo04 Dec
WANAUME ‘HANDSOME’, WANAWAKE WAREMBO NI SHIDA KWENYE NDOA
![](http://api.ning.com/files/R5SqbRTCmAGYjnOUuQRpVPlImGQK0pHT1lhec0*suztA7Z68gr*I0Au4qIv57rOms50CDYi7upi8h6A9695daQl9CoNfux*o/mog08.jpg?width=650)
Hata kwa wanawake nao huwa wanaangalia wanaume ‘handsome’ ambao hata wakiwa wanatembea pamoja mtaani watavuta macho ya watu na kusifiwa.
Mimi sidhani kama wanaoangalia vigezo hivyo wanakosea hasa kama wanatafuta wapenzi na wachumba watakaotengeneza njia ya kuelekea kwenye ndoa.
Naomba katika hili nieleweke...