Video: CBH – Serebuka
Msanii CBH baada ya kimya kingi ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Serebuka”. Video imeongozwa na Khalfani Khalmandro, angalia hapa alafu toa maoni yako.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo509 Oct
Music: CBH — Serebuka
Msanii CBH baada ya kimya kingi amechia wimbo mpya unaitwa “Serebuka”. Studio Seductive Records Producer Chrixtone The Melody. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi02 Jan
11 years ago
GPL21 May
11 years ago
Michuzi21 Jun
11 years ago
Michuzi15 Oct
10 years ago
GPLMAJIMAJI SEREBUKA MARATHON YAUNGURUMA SONGEA
Wakali wa marathon wakitayarisha saa zao, tayari kwa kuanza safari ya Km 42, katika tamasha la kila mwaka la Majimaji Selebuka 2015 linaloendelea kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya Majimaji, Songea. Washiriki wa mbio ndefu za Km 42 katika Tamasha la Majimaji Selebuka 2015, wakichanja mbuga. Kutoka kushoto ni Paulo Modest, Isaki Naghali na Shauri Gwaangwi. Tamasha hilo linaendelea katika Uwanja wa Makumbusho ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania