Video: Davido na Wizkid watumbuiza pamoja kwenye jukwaa moja Lagos
Mastaa wa muziki wa Nigeria, Davido na Wizkid wamethibitisha kumaliza kabisa tofauti zozote zilizowahi kuwepo kati yao, baada ya kutumbuiza pamoja jukwaani kwenye show iliyofanyika Alhamisi Dec.3, 2015 jijini Lagos.
Kwa mujibu wa video iliyosambaa ya show hiyo ya club, Davido ndiye aliyekuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuimba wimbo wake wa ‘Dami Duro’, na wakati wimbo unaelekea kuisha ghafla Wizkid alitokea upande wa mashabiki na kuvutwa mkono na Davido kupanda jukwaani, wakaendelea...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
9 years ago
Bongo517 Dec
Linah na Feza Kessy kupanda jukwaa moja na Davido, Iyanya Lagos

Feza Kessy na Linah watapanda jukwaa moja na wasanii wa Nigeria wakiwemo M.I, Davido, Phyno, Iyanya na Runtown kwenye show ya Soundcity Urban Blast Festival 2015 Ijumaa hii.
Msanii wa Kenya, Victoria Kimani naye atatumbuiza.
“Nigeria I hope your ready cos Ive been so ready. Tanzanian angels about to rock Lagos soon. Ayeee,” ameandika Feza kwenye Instagram.
Shilole pia ameongoza na wasanii hao japo haijulikani kama naye atatumbuiza.
Feza akiwa na meneja wa Panamusiq Doreen Estazia
10 years ago
Bongo515 Dec
Video/Picha: Davido na Wizkid wakutana uso kwa uso na kula bata pamoja
11 years ago
Bongo518 Jul
Mandela Day: Mafikizolo na Davido watumbuiza kwenye show iliyooneshwa live kupitia website ya MTN
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Linah, Feza jukwaa moja na Davido Nigeria leo
NA MWANDISHI WETU
WANAMUZIKI nyota wa Bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga ‘Linah Sanga’ na Feza Kessy, leo watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria, katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival, litakalofanyika Lagos, Nigeria.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii wakali nchini humo kama vile Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide, huku wengine wakiwa Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle na...
9 years ago
Michuzi
Linah, Feza Kessy ndani ya jukwaa moja na Davido nchini Nigeria

Wanamuziki nyota wa bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga maarufu kwa jina la Linah Sanga na Feza Kessy ijumaa watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii nyota wa Nigeria kama, Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide. Katika orodha hiyo wapo wasanii nyota wengine kama Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Linah, Feza Kessy ndani ya jukwaa moja na Davido, Iyanya, Kiss Daniel Nigeria leo
Estelina Peter Sanga.
Na Mwandishi wetu
Wanamuziki nyota wa Bongo Fleva nchini, Estelina Peter Sanga maarufu kwa jina la Linah Sanga na Feza Kessy leo ijumaa watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii nyota wa Nigeria kama, Davido, Kiss Daniel, Iyanya na Olamide. Katika orodha hiyo wapo wasanii nyota wengine kama Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan,...
10 years ago
GPL
DIAMOND NDANI YA LAGOS, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
10 years ago
Vijimambo07 Jan
DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA
