Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO MPYA: GELLY- IYOLELE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Gelly Wa Rhymes – Kontena

cover - Gerry

Msanii Gelly Wa Rhymes ameachia wimbo mpya unaitwa “Kontena”, Producer Teaz Villah

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Gelly wa Rhymes- Trap Queen

Gelly wa Rhymes ameamua kuonesha uwezo wake wa kuchana kwenye ngoma hii Trap Queen. Isikilize. Related Tags:

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Umeiskia ‘Am Happy’ ya Bob Manecky f/ Quick Rocka, G-Nako, Jux, Ben Pol, Young D na Gelly wa Rhymes?

Producer wa AM Records, Bob Manecky ameachia wimbo uitwao ‘Am Happy’ aliowashirikisha Quick Rocka, G-Nako, Jux, Ben Pol, Young D na Gelly wa Rhymes. Usikilize hapo chini, utaupenda. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Belle 9 — ‘Shauri Zao’

Belle 9 amekamilisha video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ iliyoongozwa na Hanscana. Lakini kabla hajaiachia rasmi, msanii huyo kutoka mji kasoro bahari, Morogoro amekupa kionjo cha sekunde 15 cha video hiyo. Itazame Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya wa Linex ‘Wema Kwa Ubaya’

“Mungu ni Wa ajabu hata ukiwa mtenda mabaya ukirudisha moyo wako nyuma anasamehe na kusahau”, hayo ni baadhi ya maneno katika wimbo mpya wa Linex uitwao ‘Wema Kwa Ubaya’ ambao anatarajia kuutoa. Kuna dalili nyingi sana za wimbo huu wa hisia kuteka mioyo ya wengi, na ukitaka kufahamu sababu basi tazama sekunde 30 za video […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’

Kassim-Mganga-serengeti-fiesta-Mbeya.

Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.

Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma inatarajiwa kutoka Ijumaa hii.

“Muda mrefu sana nimekuwa na kigugumizi juu ya majibu ya maswali yenu kuhusu video ya wimbo wenu pendwa wa #SUBIRA…kazi haikuwa ndogo kukamilisha hii video yote kupata video ya kiwango kinachohitajika machoni mwenu wadau..kazi imekamilika shukran kwa subira yenu wadau,in shaa Allah Ijumaa hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani