Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO MPYA: RACHEL K FEAT. MS. TRINITI ‘APPLICATION’

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Rachel K f/ Ms. Triniti — Application

Video mpya ya msanii wa Uganda, Rachel K aliomshrikisha Ms Triniti ‘Application’.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross

Baada ya kutangaza tarehe mpya (Sept 16) ya kutoka kwa album yake ya ‘X’ ambayo iliahirishwa kwa zaidi ya mwaka, Chris Brow ameachia video mpya ya wimbo wake ‘New Flame’ ambao amewashirikisha Usher na Rick Ross. Itazame

 

10 years ago

GPL

9 years ago

MillardAyo

Kutana na nyingine mpya ya French Montana ‘First Time’ feat. Puff Daddy – (Video)!

Akiwa bado anakamilsha Album yake mpya Mac & Cheese 4 inayotarajia kuwa mtaani mapema mwaka 2016, rapper kutoka Marekani French Montana amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani weekend hii kwa kuisogeza kwetu moja ya videos kutoka kwenye album yake mpya. Wimbo unaitwa ‘First time’ featuring Puff Daddy ndani yake… Album mpya ya French Montana […]

The post Kutana na nyingine mpya ya French Montana ‘First Time’ feat. Puff Daddy – (Video)! appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video)

Mkali wa R&B kutoka Bongo TZ, Ben Pol anafunga mwaka 2015 huku akiacha kumbukumbu nzuri za headlines za hit ya ngoma ya ‘Sophia‘ ambayo imependwa na bado inapendwa na wengi… ukali wa ngoma hiyo ulifanya akina Quick Rocka, Peter Msechu nao kuingia studio kuiimbia copy ya aina yake, hicho ni kitu ambacho sio mara nyingi […]

The post 2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

Channel 10 wazindua huduma mpya ya Application Phone

Kampuni ya AFRICA MEDIA GROUP LTD (AMGL)  inayomiliki kituo cha CHANNEL TEN na RADIO MAGIC FM imezindua huduma mpya ya kimtandao kupitia teknologia  ya Application phone, itakayowezesha wananchi kwa ujumla kupata Habari kem kem kupitia simu zao za mkononi    Mtandao huo ambao utawawezesha watanzamaji wa Channel ten kupata habari tayari umezinduliwa ambapo mtaalum Mkuu wa kitendo cha mtandao Channel ten amesema kuwa kufanya hivyo kunawarahishia watazamaji kupata habari kwa muda muafaka mara...

 

9 years ago

MillardAyo

Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)!

Kwa siku ya tatu mfululizo staa wa muziki Chris Brown amekuwa akizisogeza videos kutoka kwenye album yake mpya, Royalty… jana December 16 2015 staa huyo aliileta kwetu Wrist kwenye video na leo C Breezy anaisogea kwetu ‘Anyway’ pembeni akiwa na mrembo Tayla Parx. ‘Anyway’ ni single ya tatu kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown […]

The post Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)! appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani