Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Channel 10 wazindua huduma mpya ya Application Phone

Kampuni ya AFRICA MEDIA GROUP LTD (AMGL)  inayomiliki kituo cha CHANNEL TEN na RADIO MAGIC FM imezindua huduma mpya ya kimtandao kupitia teknologia  ya Application phone, itakayowezesha wananchi kwa ujumla kupata Habari kem kem kupitia simu zao za mkononi    Mtandao huo ambao utawawezesha watanzamaji wa Channel ten kupata habari tayari umezinduliwa ambapo mtaalum Mkuu wa kitendo cha mtandao Channel ten amesema kuwa kufanya hivyo kunawarahishia watazamaji kupata habari kwa muda muafaka mara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Smile wazindua huduma mpya ya internet

Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Smile Communications,Linda Chiza (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua huduma mpya ya SmileOn itakayomuwezesha Mteja wa Smile kutumia huduma ya Internet hapa kama kifurushi chake kikekwisha.kushoto ni Afisa Mkuu wa Utendaji na Miradi,Athuman Ibrahim Nzowa na kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja,Gabriel Ndobho.

 

10 years ago

GPL

TIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE

Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo wa 4G LTE baada ya kupata maelekezo ya awali kutoka kwa wafanyakazi wa Tigo. Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo…

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM NA CRDB BENKI WAZINDUA HUDUMA MPYA YA M-PESA

Mkurugenzi wa Huduma Mbadala za Benki wa CRDB Joseph Witts akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kutoa pesa kwenye M-pesa kupitia ATM za benki bila kuhitaji kuwa na kadi wala akaunti ya beki hiyo. Wengine pichani ni Ofisa Mkuu wa Biashara Mtandao wa Vodacom Jacques Voogt na Meneje Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Ofisa Mkuu wa wa Biashara Mtandao wa Vodacom Jacque Voogt akittumia ATM ya Benki ya CRDB kutoa pesa kwenye akaunti ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

BM Hair & Beauty Clinic wazindua huduma mpya jijini Dar

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua huduma mpya za BM Hair and Beauty Clinic huku akisaidiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele leo jijini Dar es Salaam. Kwa sasa wamefikisha miaka 14 kwa kutoa huduma zenye ubora tokea imeanzishwa.


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akionyesha glasi juu yenye kinywaji pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele kuashiria kuzinduliwa kwa huduma mpya.

Mkuu wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya fedha ya FAIDIKA wazindua huduma mpya ya ‘Faidika na Samsung Tabs’ kwa wateja wa Dar

DSC_2594

Ofisa Mtendaji mpya wa Faidika, Bw. Mbuso Dlamini wa pilikutoka kushoto akiwa sambamba na Meneja matekeleo wa taasisi hiyo, Haruna Feruzi wakiwa wameshika moja ya Samsung galaxy tab ambazo watakuwa wanakopesha wateja wao kuanzia sasa. Wanaofuatia ni Meneja wa kitengo cha Mauzo SME, kutoka kampuni ya AIRTEL, Bw. Killian Nango akishikilia bidhaa hizo pamoja na Meneja wa Samsung, Bw. Payton Kwembe. Wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam.  (Picha...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA UNI WI-FI

Wakwanza kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania Aneth Muga akiwa ameshilia bango linaloonyesha huduma mpya ya Airtel Wi-Fi intaneti  maalum kwa wanavyuo iliyozinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza Mwanza katika chuo cha St Augustine (SAUT) pamoja nae anaefuata ni raisi wa serikali ya wanafunzi Sogone Wambura, Mshauri wa wanafunzi chuoni hapo bw,Liberates Ndegeulaya na Afisa masoko wa Airtel Mwanza Bw, Emanuel Raphael
Afisa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WAZINDUA MPANGO WA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA MANYARA.

 Meneja wa NHIF Mkoa wa Manyara, Innocent Mauki akiwakaribisha viongozi wa NHIF makao makuu na uongozi wa Mkoa wa Manyara, kwenye uzinduzi wa mpango wa huduma za madaktari bingwa Mkoani Manyara. 
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Nkaya akizindua mpango wa huduma za madaktari bingwa mkoani humo, zilizowezeshwa na NHIF Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Nkaya Bendera akizungumza asubhi ya leo kwa kuwa mkoa huo kujiunga na mfuko wa...

 

10 years ago

GPL

NMB, AIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO

Mgeni rasmi katika hafla hiyo Mh.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano akieleza jambo katika hafla hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani