Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video Queen wengi tunafanya kazi ‘kishkaji’

Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya nchini Khalid Ramadhani a.k.a Tundaman, amesema warembo wanaotumika katika video zake maarufu kama ‘video queen’ wengi huwa anaelewana nao tu kwani ni wachache huwalipa ujira.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Kionjo cha video ya wimbo mpya ya Quick Rocka ‘Queen’ iliyoongozwa na Khalfani na Raqey

Quick Rocka amefanya video mpya na muongozaji aliyefanya video yake iliyopita, Khalfani na safari hii wameongeza nguvu ya director mwingine wa I-View studios Raqey. Katika akaunti yake ya Instagram Quick ameshare kionjo cha video hiyo ya wimbo wake mpya uitwao ‘Queen’ na kuandika “#NewVideoAlert#NewSongAlert….Mbeya City yo boy is coming.#Oct17#Queen# @director_khalfani & @raqey_allaraqya on this one.” […]

 

11 years ago

Mwananchi

Tunafanya biashara-TBC

>Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Utangazaji (TBC), Clement Mshana amesema kuwa wameamua kuonyesha mechi za fainali za Kombe la Dunia kupitia kituo cha televisheni cha TBC2 badala ya TBC1 ili waweze kuuza ving’amuzi vya StarTimes kwa madai kuwa wamewekeza fedha nyingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wewe na mimi tunafanya nini kuendeleza elimu?

Uzoefu wangu wa kufuatilia masuala ya elimu unaonyesha aghlabu matatizo mengi katika sekta ya elimu yanatokana na Serikali kama mdau mkuu.

 

9 years ago

BBC

VIDEO: The moment a Princess became a Queen

Alastair Leithead has been retracing the day Princess Elizabeth became Queen

 

9 years ago

Bongo5

Video: Quick Rocka – Queen

Screen-Shot-2015-12-02-at-1.34.31-PM

Quick Rocka ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Queen”, Video imeongozwa na Khalfani

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

BBC

VIDEO: Pupils confuse Merkel with the Queen

Indian and Kenyan school pupils explain what they understand about the Commonwealth Games and tried to identify the Royal family.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ommy:Wema Hajazoeleka ‘U-video queen’

Staa wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka na kusema kuwa staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu alishiriki video ya wimbo wa wanjera kwa sababu hajazoeleka kama ‘video queen’.

Akiongea na GPL Ommy alisema mara nyingi Wema amezoeleka kuonekana kwenye filamu kwa sababu video ya wanjera  ilikuwa ni wazo la kipekee ndiyo maana alimchagua yeye ili amjaribu.

“Wema hajazoeleka sana kwenye video za kibongo zaidi ya filamu kwa hiyo niliamua kufanya utofauti kuanzia aidia mpaka video queen...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je janga la corona litasababisha watoto wengi zaidi kufanya kazi?

Shirika la Wafanyakazi duniani laonya kuhusu kudorora kwa kiuchumi kwa sababu ya Covid-19 huenda kukasababisha watoto wengi zaidi kuanza kufanya kazi hasa zile hatari au kwenye mazingira magumu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani