Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: RunTown — Walahi

Walahi-600x431

Eric Many Entertainment Lead act RunTown Officially releases his last official single before his Debut Album.
The Song is titled ‘Walahi’ , produced by Maleekberry and this one comes out with a video as well.
Video was shot in South Africa and Directed by SESAN AKA SES BABA.

RunTown’s Debut Album Titled Ghetto University drops on the 22nd of November.

The Album Features collaborations with DJ Khaled, Davido , Wizkid , Burna Boy , Phyno , Barbapappa and M.I.

Jiunge na Bongo5.com...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: Runtown - The Banger [Official Video] ft. Uhuru

Here's the writeup: Eric Manny Entertainment artist and "Next Rated Act" 2014 Headies nominee "RunTown" teams up with Award winning South African group "Uhuru" for this hit song, "The Banger". 
Directed by Justin Campos, the club banger is an interesting tune that features catchy and energetic dancing.



 

9 years ago

Bongo5

Chege kuitambulisha video ya ngoma aliyofanya na Runtown, SA na Nigeria

Chege

Chege Chigunda amesafiri kuelekea nchini Afrika Kusini na baadaye ataelekea Nigeria ili kuweka mazingira mazuri ya kuanza kuitambulisha video ya wimbo aliomshirikisha Runtown wa Nigeria.

Chege

Meneja wa TMK Wanaume Family, Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa video na wimbo huo kwa hapa nyumbani vitaachiwa December 4.

“Chege yupo South kwaajili ya ile kazi na Runtown,” amesema Fella.

“Hapa nyumbani itatambulishwa tarehe 4 lakini hivi karibuni Chege ataanza kuitambulisha South Africa na...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: CHEGE ft. RUNTOWN & UHURU - SWEETY SWEETY (Official Video)



Published on Dec 18, 2015Watch and share , brand new music video "Sweety sweety" by Tanzania bongo flava artist Chege Featuring artist from Nigeria Runtown and Uhuru from South Africa xelimpilo.
Directed by Justin Campos | Produced by Dj Maphorisa.
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Runtown Ft. Wizkid & Walshy Fire – Bend Down Pause

Msanii Runtown kutoka Nigeria ameachaia video mpya amewashirikisha Wizkid na Walshy wimbo unaitwa “Bend Down Pause” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: MI Abaga Ft. Runtown, Phyno & Stormrex – Bullion Van

Video mpya ya msanii MI Abaga kutoka Nigeria amewashirikisha Runtown,Phyno na Stormrex wimbo unaitwa “Bullion Van” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Chege Feat.Runtown & Uhuru – Sweety sweety

CHEGE-NEW

Video mpya kutoka kwa msanii toka Temeke Dar es Salaam, Chege amewashirikisha Uhuru na Runtown wimbo unaitwa “Sweety Sweety” angalia hapa, Video imeongozwa na Justin Campos wa South Africa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika 4 za ‘Sweety Sweety’ iliyoletwa na Chege kutoka South Africa, Feat. Uhuru & Runtown.. (+Video)

Inawezekana kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 pamoja na shughuli za uchaguzi wenyewe vilifanya wasanii wengi wakakaa zao na mizigo ya ngoma kali chimbo ili kusubiri hali ikae sawa ndio vitu viachiwe. Chege nae alikuwa chimbo na mzigo wa bondeni nini ??!! Kama umeshtukia ni kwamba mawimbi ya radio TZ yamepakua ngoma mpya karibu kila siku […]

The post Dakika 4 za ‘Sweety Sweety’ iliyoletwa na Chege kutoka South Africa, Feat. Uhuru & Runtown.. (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego kutoka na Wizkid, Runtown

Nay-Wa-MitegoNA LETICIA BWIRE (TUDARCO)

MWANAHIP Hop, Ney wa Mitego, kwa mara ya kwanza amefanya wimbo wa ushirikiano na wasanii wa kimataifa kutoka nchini Nigeria, huku nyimbo hizo akipanga kuziachia mwishoni mwa mwaka huu.

Ney aliliambia MTANZANIA kwamba, wasanii alioshirikiana nao ni mkali wa wimbo wa ‘Ojogduma’, Wizkid na Runtown ambao wote ni kutoka nchini Nigeria.

“Wimbo nilioshirikiana na msanii, Runtown nitautoa mwishoni mwa mwaka huu, lakini nilioshirikiana na Wizkid nitauachia mwakani kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani