Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Stan Bakora aachia Parody ya ‘Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko

Show Me ya Harmonize na Rich Mavoko ni moja kati ya nyimbo ambazo zimeonekana kufanya vizuri katika kipindi kifupi hasa video yake ikionekana kupendwa zaidi kutokana na kusheheni warembo kibao wanaosakata rumba na viuno vya kufa mtu.

Mchekeshaji maarufu nchini, Stan Bakora naye ni mmoja ya watu waliovutiwa na wimbo huo na kuamua kuufanyia parody ya dakika moja na nusu kwa ajili ya kuuongezea nguvu zaidi wimbo huo. Tazama video hiyo hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Exclusive interview na Amanda Swartbooi, model kwenye video ya Show Me ya Harmonize na Mavoko na Coolest Kids in Africa ya Davido

Amanda Swartbooi, ni sura ambayo utaiona sana mwaka huu. Macho ya wengi yalimuona mrembo huyu kwenye video ya Davido na Nasty C, Coolest Kids in Africa na hakika alionesha kuwa ni habari nyingine kwenye fani hiyo. Harmonize na Rich Mavoko wamefanikiwa kumtumia kwenye video ya wimbo wao, Show Me ambaye tayari ameifanya video hiyo iwe gumzo mtandaoni.

Nimemtafuta Amanda na kuzungumza naye mawili matatu ili kumfahamu zaidi. Fuatilia chat yetu hapo chini:

1. When did you start appearing on...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Stan Bakora Akibanjuka Garini Zaleta Balaa, Kitale Aingilia Kati!

Picha za Msanii wa vichekesho anaeibukia, Stan Bakora akiwa anabanjuka na mwanamke ndani ya gari zimesambaa kwa kasi mtandaoni  na kupelekea msanii mwenzake, Kitale “Mkude Simba”  ambaye ndiye aliemtoa kisanii kuingilia kati na kumshukia Mateja Musa ambaye anadaiwa kuziweka picha hizo mtandaoni.

“@matejamusa wewe ni Ndugu yangu lakini leo umenikosea kwa ulichokiandika kwenye acount yko ya insta kuhusu @stanbakora umenikosea plz! naomba ufute zile picha haraka nakupigia cm yng upokei sio poa...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Video: King Kaka Ft. Rich Mavoko — Lini

Video mpya ya msanii kutoka Kenya King Kaka wimbo unaitwa “Lini” amemshirikisha Rich Mavoko Video: Directed By Johnson Kyalo/Empire Films. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani