VIDEO: Top five health headlines for 2106
Global Health correspondent Tulip Mazumdar takes a look at what health stories may dominate the headlines in 2016.
BBC
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela
Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga. Hatua ya Jaffo imekuja ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga uzio wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Amesema nafasi yake itashikiliwa kwa muda na Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika. Unataka […]
The post Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela appeared first on...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube. Zifuatazo ni video mpya za bongo zilizotoka mwezi December 2015 ambazo zimechukua headlines hutakiwi zikupite…. ya kwanza kuitazama ni hii ya Alikiba & Christian Bella iitwayo Nagharamia imewekwa December 19 2015 na mpaka sasa […]
The post Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube… appeared first on...
11 years ago
TheCitizen06 Jul
Training more health workers to serve rural areas should be given top priority
10 years ago
TheCitizen02 Jun
Mwandosya lists graft war, health and education as his top priorities
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Olamide karudi tena kwenye headlines na hii nyingine ‘Eyan Mayweather’…(Video)
Moja ya mastaa wanaofanya vyema katika industry ya muziki Nigeria ni pamoja na Olamide ambaye tayari nyimbo zake nyingi zikiwemo alizowashirikisha mastaa mbalimbali zimefanya vizuri. Olamide ameamua kuja na video yake mpya ya single yake ya ‘ Eyan Mayweather’ iliyofanyika jijini Lagos. Nakukaribisha kuitazama hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Olamide karudi tena kwenye headlines na hii nyingine ‘Eyan Mayweather’…(Video) appeared...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video)
Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza iitwayo NAFSI iliyotayarishwa na Pablo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]
The post Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo31 Dec
FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video)
December 30 Ligi Kuu ya Hispania iliendelea kwa michezo 9 kupigwa katika viwanja mbalimbali, huu ni muendelezo wa mechi za Laliga ambapo ilikuwa imesimama kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christmas, hivyo December 30 iliendelea kama kawaida. Miongoni mwa michezo iliyochezwa December 30 ni mechi kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Betis. Huu ni […]
The post FC Barcelona ushindi kama kawaida yao, Lionel Messi nae kwenye headlines za rekodi hii (+Pichaz&Video) appeared first on...
5 years ago
Bandera County Courier09 Mar
Eye Health Ingredients Market Industry Size, Demand & Top Market Players 2027