Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO YA MAKONDA ALIVYOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR LEO

Mgombea wa Rais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF anayeungwa mkono na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Mtendeni Zanzibar. (Picha na Talib Ussi)Mohammed Masoud rashid mgombea wa urais kupitia chama cha CHAUMA katikati ana mwengine kushoto ni mgombea wa Urais kupitia chama cha DP Abdallah Kombo Khamisi na kulia ni katibu Mkuu waDemocrasia Makini Ameir Hasani Ameir wakizungumza na waandishi hapo katika hotel...

 

9 years ago

Vijimambo

GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza na waandishi wa Habari leo.


Na Emmanuel Mtengwa
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejitokeza leo na kujibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa wiki moja iliyopita.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Askofu Gwajima amekanusha tuhuma za kuwa alimwambia Dk Slaa kuwa wapo maaskofu ambao walihongwa na...

 

10 years ago

CloudsFM

IDRISS AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO KILIMANJARO HOTEL KEMPINSKI

Mshindi wa shindano la Big Brother Afrika,Idriss Sultan akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu ushindi alioupata kwenye shindano hilo wikiend iliyopita nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akizunguza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya tume ya uchaguzi jijini Dar es salaam wakati alipozungumzia maandalizi ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura, kura ya maoni ya Katiba mpya na uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu, kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Julius Mh.Julius Mallaba.Baadhi ya waadishi wa habari wakiwa katika kutano huo.
Ndugu Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Watendaji wa Tume, Mabibi...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Mama yake Sitti Mtemvu ‘awachenjia’ waandishi wa habari

Kwa kashfa na maneno yote yanayosemwa juu ya binti yake, Sitti Mtemvu, si jambo la kuuliza mara mbili iwapo mama yake anaweza kuwa na urafiki na vyombo vya habari. Mama mzazi wa Miss Tanzania 2014 alipata fursa ya kuwapa makavu live waandishi wa habari waliotaka kufahamu mtazamo wake kuhusiana na skendo ya kudanganya umri inayomhusu […]

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI LAENDELEA LEO MKOANI DODOMA.

 Mkuu wa Wilaya ya Igunga,Mh.Elibarik Kingu akizungumza mbele ya washiriki wa kongamano la tisa la NHIF na Waandishi wa habari kuhusiana na mpango mzima wa wananchi wake kutumia bima ya Afya,na pia alifafanua kuhusiana na mikakati mbalimbali anayotumia kuwahamasisha wananchi wake katika suala zima la kuhakikisha kila mtu anakua Bima ya Afya,lakini pia alieleza kuwa Wilaya yake ya Igunga ina vijiji 98,vijiji 78 vimejengwa zahati,lakini mpaka sasa zahanati 31 hazijasajiliwa,hivyo ameiomba...

 

10 years ago

Michuzi

TBS YAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM LEO

 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

 

10 years ago

GPL

JK AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTUA LEO AKITOKEA MAREKANI KWENYE MATIBABU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Prof. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam hivi sasa,mara baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Marekani kwenye Matibabu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani