Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video ya Miaka 53 ya mafanikio: Awamu ya Kwanza — NYERERE

Untitled

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne. Chikawe alisema kupitia taasisi zake yakiwemo Majeshi ya Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Idara ya Wakimbizi pamoja na Idara zingine zilizoko chini ya wizara hiyo, imepata mafanikio makubwa hususani katika jukumu la msingi la ulinzi na usalama wa nchi jambo ambalo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Video; Miaka 53 ya Mafaniko: Awamu ya Pili — MWINYI (1985 — 1995)

Untitled

Miaka 53 ya Mafanikio: Awamu ya Tatu – MKAPA (1995 – 2005)

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 53 ya Mafaniko: Awamu ya Pili — MWINYI (1985 — 1995) Video!

Miaka 53 ya Mafanikio: Awamu ya Tatu – MKAPA (1995 – 2005)

 

10 years ago

Michuzi

Hazina yapamba tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne

Vijana wa Kikundi cha “Hisia Theatre Group” wakionesha ujuzi wao wa sarakasi wakati wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini leo Dar es salaam ikiwa ni kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.Mwamuzi wa michezo ya sanaa za maonesho na Mhadhiri kutoka chuo Kikuu cha Dar es salaam Delphine Njewele (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA)...

 

9 years ago

Michuzi

MAFANIKIO YA SHIRIKA LA MZINGA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Kwa kifupi Shirika limeitikia wito wa Serikali wa kuhakikisha mashirika yanayopokea ruzuku toka Serikalini yanajijengea uwezo wa kujitegemea kwa kupunguza utegemezi serikalini. Pia mashirika ya aina hiyo yanawajibika kuendesha tafiti na kuendeleza teknolojia za gharama nafuu zinazolengwa kuwasaidia watanzania kujijengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi.Katika kipindi cha miaka 10 ya Serikali ya awamu ya nne Shirika la Mzinga limefanya yafuatayo:-


1.  Uzalishaji wa Baruti

Shirika limezalisha baruti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani