Video ya Neymar alivyosherehekea Chrismass Brazil, kaperform kwenye Stage moja na Thiaguinho, cheki hapa ..
Kama unajiuliza mastaa wa soka wa Ligi Kuu Hispania watakuwa wapi wakati huu Chrismass, ukizingatia Ligi yao imesimama kidogo kwa ajili ya sikukuu ya Chrismass na Boxing Day, Neymar anatajwa kuwa alikodi ndege binafsi hadi kwao Brazil na kuhudhuria Show ya msanii maarufu wa Brazil Thiaguinho. Kama humjui Thiaguinho staa wa muziki aliyeimba na kucheza katika Stage moja […]
The post Video ya Neymar alivyosherehekea Chrismass Brazil, kaperform kwenye Stage moja na Thiaguinho, cheki hapa .....
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni […]
The post Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Baada ya Chrismass Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20
Mtu wangu wa nguvu naomba nikujuze kilichotokea katika Mama Tour ya Yamoto Band pande za Mwanza, ikiwa ni siku moja imepita toka Yamoto Band wapige Show kali pande za Geita, usiku wa December 25 yaani sikukuu ya Chrismass, December 26 siku ya Boxing Day wameamua kufungua mabox yao ya zawadi ndani ya ukumbi wa Villa […]
The post Baada ya Chrismass Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20 appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: Video ya Neymar yamponza muuguzi
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa …
Mtu wangu wa nguvu hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu. ila mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 10 ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015. Stori kutoka 101greatgoals.com hii ndio list ya magoli yenye mvuto na […]
The post Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Brazil 2014: Neymar, Oscar waipamba Brazil mechi ya ufunguzi
11 years ago
Mwananchi27 Jun
BRAZIL 2014: Kina Neymar wa Tanzania nchini Brazil