Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video ya ‘Ya moto band’ yagharimu milioni 30

Yamoto2-11NA MELCKZEDECK SIMON

VIDEO mpya ya ‘Cheza Kimadoido’ ya kundi la muziki wa kizazi kipya ‘Ya moto Band’ imegharimu zaidi ya Sh milioni 30 za Tanzania.

Meneja mkuu wa kundi hilo lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, Saidi Fella, alisema video hiyo imeandaliwa na kampuni ya Godfather nchini Afrika Kusini na gharama hiyo ndiyo iliyoleta ubora wa video hiyo anayoamini itafanya vizuri kimataifa.

 

 

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Cassim Mganga atoa video ya ‘Moto Moto’ aliyoshoot na Ogopa mwaka 2013

Hatimaye Cassim Mganga a.k.a Tajiri wa mahaba ameachia video ya wimbo wake ‘Moto Moto’ iliyoshutiwa toka mwaka 2013. Mwaka jana Mganga alikanusha taarifa kuwa video hiyo imeharibika kutokana na kuchelewa kutoka, na kusema kuwa video ilikuwepo lakini ilikuwa inahitaji kuongezewa vipande vichache na kutoka (Ingia hapa). Video ya ‘Moto Moto’ imefanywa na kampuni ya Ogopa […]

 

9 years ago

Mtanzania

CT Scan Muhimbili yagharimu Sh bil 3.5

ct scanNa Veronica Romwald,  Dar es salaam

SERIKALI imefunga mashine mpya ya CT Scan yenye gharama ya Dola za Marekani  milioni 1.7 ambazo ni  sawa na zaidi ya Sh bilioni 3.5 katika  Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Mashine hiyo,  yenye uwezo wa kupiga picha zaidi ya 128 kwa wakati mmoja, ikilinganishwa na iliyokuwapo awali ambayo ilikuwa inapiga picha sita kwa wakati mmoja.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini wake, Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND YAWASHA MOTO LONDON

Yamoto Band wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kalage kwenye usiku wa onesho la Mkubwa na Wanae (Yamoto Band) siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 jijini London nchini Uingereza wapili toka kushoto ni mratibu wa safari ya wasanii hao Bi. Jestina George.Mkubwa na Wanae (Yamoto Band) wakishambulia jukwaa huku shabiki akishindwa kujizuia nae akienda smbamba na wasanii hao jukwaani siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 jijini London...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Moto Band wafunika sherehe ya Mh. Temba

KUNDI la muziki wa kizazi kipya nchini, Ya Moto Band lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, juzi walikuwa gumzo katika sherehe ya kumpongeza mkali wa muziki huo, Amani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kutoka Single moja hadi ya Moto Band

“KUKUPENDA imekuwa kero, na kuja kunitenda mwana wa mwenzio, nachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we x 2. Kukupenda nakupenda kweli ahaa sikatai, uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi x...

 

10 years ago

GPL

YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN LEO

KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa Mango Garden, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kupitisha wikiendi bila burudani yoyote, leo usiku ‘utawaka moto’ wakati Yamoto Band na Mashauzi Classic zitakapotoa shoo kabambe hapo. Wasanii wa yamoto band. Ni onyesho ambalo limeteka hisia za mashabiki wa muziki kutokana na ukweli kuwa vikundi hivyo viwili havijawahi kukutana katika katika onyesho la pamoja,...

 

10 years ago

Vijimambo

YA MOTO BAND LIVE NDANI YA NEW YORK NA WASHINGTON. DC APRIL ( LOCATION T.B.A )



YA MOTO BAND LIVE NEW YORK NA WASHINGTON DC. KWA UDHAMINI WA TEMBAPHOTO  & 0VIJIMAMBO. KWA TAARIFA ZAIDI YA UJIO HUU WA YA MOTO BAND ENDELEA KUFATILIA KUPITIA VIJIMAMBO NA WWW.TEMBAPHOTO.COM
http://tembaphoto.com/

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK NA WASHINGTON. DC MKO TAYARI KUSELEBUKA NA YA MOTO BAND? ( LOCATION T.B.A )



YA MOTO BAND LIVE NEW YORK NA WASHINGTON DC. KWA UDHAMINI WA TEMBAPHOTO  & 0VIJIMAMBO. KWA TAARIFA ZAIDI YA UJIO HUU WA YA MOTO BAND ENDELEA KUFATILIA KUPITIA VIJIMAMBO NA WWW.TEMBAPHOTO.COM
http://tembaphoto.com/

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani