Ya Moto Band wafunika sherehe ya Mh. Temba
KUNDI la muziki wa kizazi kipya nchini, Ya Moto Band lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, juzi walikuwa gumzo katika sherehe ya kumpongeza mkali wa muziki huo, Amani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Chege, Mh. Temba wafunika Coco Beach
KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, wasanii Chege Chigunda ‘Mtoto wa Mama Saidi’ na Mhe. Temba, wametoa burudani ya aina yake kwa wapenzi na mashabiki wa muziki katika tamasha maalumu la...
11 years ago
GPLCHEGGE, TEMBA WAFUNIKA DAR LIVE USIKU HUU
10 years ago
Bongo509 Mar
PAPASO: Mimi ni mwanzilishi wa Yamoto Band na Mkubwa Fella — Mh. Temba
11 years ago
GPL10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbU9euw*eWS3x23gd40ViLJxB8gYzzXZl29O3HfQTNwiF5o4V8WUEGR7GYlOjG7Dm8Z*zDBSKwrwTj1vcwtI7T6j/TMKWANAUMEFAMILY5.jpg?width=650)
TMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
East Africa Vibes Concert yafana Dar: Eric Omondi, Sarabi Band, Leo Mkanyia na Grace Matata wafunika
Wanamuziki wa bendi ya SARABI kutoka Kenya, ikishambulia jukwaa usiku wa jana Agosti Mosi, wakati wa shoo East Africa Vibes Concert iliyofanyika Nafasi Art Space, Mikocheni. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)
Na Andrew Chale
(Kinondoni-Dar es Salaam) Usiku wa Agosti Mosi ulikuwa ni ya kipekee kwa wadau wa burudani na vichekesho ndani ya Afrika Mashariki baada ya kushuhudia muziki wenye vionjo halisi kutoka kwa wanamuziki mbalimbali wa Afrikaa Mashariki ndani ya ukumbi wa...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Karibu Music Festival 2015 laanza kwa kishindo, Ras Six, Msafiri Zawose, Hard Mad, Kokodo band wafunika
Mwanamuziki wa nyimbo za asili za Kabila la Kigogo, Msafiri Zawose akiimba kwa kutumia zeze maarufu la Kabila hilo katika shoo yao ya ufunguzi wa Tamasha la Karibu Music Festival msimu wa pili lililoanza jana Novemba 6.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[BAGAMOYO-TANZANIA] Tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu Music Festival’ linaloratibiwa na Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO) na Legendary Music Entertainment and Promotions...
10 years ago
Vijimambo24 Feb
YAMOTO BAND YAWASHA MOTO LONDON
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/t31.0-8/10386934_828991617161297_1265181723487925171_o.jpg)
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xap1/t31.0-8/1553457_828993213827804_926730279006564556_o.jpg)
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Video ya ‘Ya moto band’ yagharimu milioni 30
NA MELCKZEDECK SIMON
VIDEO mpya ya ‘Cheza Kimadoido’ ya kundi la muziki wa kizazi kipya ‘Ya moto Band’ imegharimu zaidi ya Sh milioni 30 za Tanzania.
Meneja mkuu wa kundi hilo lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, Saidi Fella, alisema video hiyo imeandaliwa na kampuni ya Godfather nchini Afrika Kusini na gharama hiyo ndiyo iliyoleta ubora wa video hiyo anayoamini itafanya vizuri kimataifa.