Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vifo vinavyotokana na nyoka kuongezeka?

Shirika la kimataifa la misaada, Medecins Sans Frontieres, limeonya kwamba vifo vitokanavyo na kuumwa na nyoka huenda vikaongezeka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

IDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000

 Idadi ya vifo vinavyotokana na joto kali nchini India vimepita zaidi watu 1,000 huku hali ya joto ikikaribia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo. Vingi ya vifo vimetokea katika jimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambapo watu 1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita. Ripoti zinaeleza watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali huko Bengali Magharibi pamoja na Orissa. Hali ya joto hilo inatarajiwa kupungua katika siku chache zijazo.


 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Nchi za Muungano wa Ulaya zarekodi idadi ya juu ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona

Idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona imeongezeka katika nchi za Italia, Uhispania na Ufaransa.

 

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TUUUUU LeBron James Jr.



Jitiririshe na video hii na utakubari usemi wa mtoto wa nyoka ni nyoka jinsi mtoto wa LeBron James jersey number 0 {LeBron James Jr} alivyo na kipaji kama baba yake. The apple never falls far from the tree.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa ya nyoka ni nyoka

Watafiti wanyonya sumu ya nyoka itayowatibu watu wanaotafunwa na nyoka Afrika

 

10 years ago

BBCSwahili

Amezwa na Nyoka aina ya Anaconda

Watu nchini Marekani wameelezea ghadhabu kufuatia utafiti wa mtaalamu wa wanyamapori Paul Roslie kumezwa na Nyoka aina ya Anaconda ili kuchunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo.

 

10 years ago

GPL

NIMEUMWA NA NYOKA, NIMETOKWA MAGAMBA

KWELI duniani hujafa hujaumbika! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Kondo Athuman, mkazi wa Pugu Mnadani, Dar es Salaam amejikuta akiishi kwenye mazingira magumu kutokana na magamba kumtoka mwilini na kukatika vidole baada ya kumuua nyoka.   Kondo Athuman akionyesha mguu unaotoka magamba. CHANZO CHAKE
Akisimulia kwa huzuni, Kondo alisema mwaka 2006 alisafiri na mkewe kwenda mkoani Morogoro ambapo walipata shamba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchungaji akwepa kula panya na nyoka

Wafuasi wa chama cha Economic Freedom Fighters walitaka Pastor Penuel Mnguni, ale panya mbele ya Wafuasi wake

 

11 years ago

GPL

HAMISA MABETO: NINA UTAALAM NA NYOKA

Stori: Musa Mateja
MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, licha ya baadhi ya wasichana wenzake kutokuwa na ujasiri wa kucheza na nyoka, yeye anao. Mrembo aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ Akipiga stori na Ijumaa, Mabeto alisema awali alikuwa muoga lakini taratibu alianza...

 

10 years ago

Raia Mwema

Mpinzani huyu “nyoka ndani ya kibuyu”

JUMAMOSI iliyopita nikiwa Kampala, Uganda, nilimwambia rafiki yangu mmoja aliye waziri katika ser

Ahmed Rajab

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani