Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vihunzi nane kwa Rais John Magufuli

Rais mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Pombe Magufuli anakabiliwa na changamoto nane kubwa ikiwamo ya namna ya kutatua kwa amani mgogoro wa urais wa Zanzibar ambao umeibuka, baada ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kusitisha mchakato wa kumtangaza mshindi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais  wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
     Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais


 SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.


“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Barua ya wazi kwa Rais Dr. John Pombe Magufuli kutoka kwa mdau wa Usalama Barabarani

unnamed (3)

Ndugu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano.

Nianze barua yangu kwa kugusia changamoto ya ajali nchini. Ajali limekuwa ni tatizo sugu licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na serikali. Ni hivi karibuni ripoti ya mwenendo wa ajali za barabarani imetolewa na Tanzania ikishika nafasi ya tano kwa kuwa na...

 

9 years ago

Michuzi

BARUA YA WAZI KWA RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA MDAU WA USALAMA BARABARAN


Ndugu Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, 

Nachukua fursa hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuliongoza taifa letu la Tanzania kama Rais wa awamu ya tano.

Nianze barua yangu kwa kugusia changamoto ya ajali nchini. Ajali limekuwa ni tatizo sugu licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na serikali. Ni hivi karibuni ripoti ya mwenendo wa ajali za barabarani imetolewa na Tanzania ikishika nafasi ya tano kwa kuwa na matukio...

 

9 years ago

Michuzi

WENYEVITI WA CCM MIKOA WAPONGEZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KWA KASI YAKE

 Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ramadhan Madabida akizungumza na waandishi wa habari (hayupo pichani) juu ya kazi inayofanywa na Rais Dk. John Magufuli leo jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari wakimfatilia Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ,Ramadhan Madabida leo jijni Dar es Salaam
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamesema kuwa kasi ya Rais Dk. John Joseph Pombe Magufuli kwa kuwachukulia hatua ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dk. John Pombe Magufuli alipotinga ofisini kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana!

 

IMGS3004 Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS3000 Rais John Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015  na kuzungumza nao kwa takribani saa moja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS3012  Rais John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani