Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wa Dar Changamkieni Fursa


************************Nteghenjwa Hosseah, Dar es salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(Mb) amewataka vijana wa Mkoa wa Dar es Salaam kuchangamkia fursa za mikopo ya vijana inayotolewa katika kila Halmashauri Nchini.
Waziri Jafo ameyasema hayo wakati alipokua akifungua Kampeni ya Vijana Twende inayolenga Vijana wa Dar es salaam kuchangamkia fursa za kujukwamua kiuchumi iliyofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...

 

10 years ago

Michuzi

KIDOTI :VIJANA WA JIJI LA ARUSHA CHANGAMKIENI FURSA ZA KIJASIRIAMALI


 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo  (kidoti) akiwa na mabalozi wake aliwapata ndani ya mkoa wa Arusha tayari kwa kwenda mtaani kutangaza bidhaa zake zake za kidoti zilizoingia jijini Arusha kwa mara ya kwanza 


 warembo wa Kidoti wakiwa wako katika pozi wameshikilia baadhi ya bidhaa za Kidoti 

 mmoja wa mabalozi wa kidoti  aliyejulikana kwa jina la Anolia Agustino akiwa anaongea na waandishi wa habari Meneja masoko wa kampuni ya kidoti Peter Kasija akiwa anaongea na...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Changamkieni fursa zilizopo’

Vijana wametakiwa kuvunja makundi yaliyoundwa wakati wa kampeni za uchaguzi ili kuchangamkia fursa zilizopo kwenye maeneo yao na kuinua uchumi.

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wakulima Mbeya changamkieni fursa’

Wakulima Mkoa wa Mbeya wametakiwa kuchangamkia kilimo cha kibiashara ili waweze kubadili maisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima changamkieni fursa hii

MOJA ya habari kubwa kwenye Gazeti hili jana ilihusu kauli ya Serikali kuhusu wakulima ambapo imesema kuwa kuanzia sasa ruksa kwa wakulima nchini kuuza mazao yao nje. Kauli hiyo ilitolewa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake changamkieni fursa — Dendego

WANAWAKE wajasiriamali mkoani Tanga wametakiwa kuchangamkia fursa zitakazotolewa kupitia kampeni ya ‘Mwanamke na Uchumi’ mwanzoni mwa mwezi ujao, ambapo zaidi ya wanawake 300 watanufaika na mafunzo hayo yanayotolewa na kampuni...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri: Changamkieni fursa EAC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuchangamkia biashara kwenye masoko ya kimataifa ili kukuza uchumi wa nchi hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Katavi changamkieni fursa za kiuchumi zilizopo’

Wakazi mkoani hapa wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo, ikiwamo kuingia ubia na wawekezaji wa kigeni ili kuleta maendeleo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani