Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wanaoshiri kwenye fainali Afrika Kusini waagwa.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amewakabidhi bendera ya Tanzania vijana wanaokwenda kushiriki katika fainali ya kumpata mshindi wa Tuzo ya wajasiriamali vijana wa Afrika ANZISHA itakayofanyika nchini Afrika Kusini Akikabidhi bendera hiyo jijini Dar es salaam Makonda amesema, Serikali imekuwa ikiweka juhudi kuwaunga mkono vijana wajasiriamali kwakuwa nchi ya viwanda haipatikani nje ya ujasiriamali. Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema vijana wengi wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yajifua fainali-vijana Afrika

Timu ya Tanzania ya Vijana wa chini ya miaka 15 imeingia kambini kujiandaa kufuzu fainali za U-17 ,2017 nchini Madagascar.

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WATANO U-15 WAELEKEA AFRIKA KUSINI

WACHEZAJI watano kutoka katika kikosi cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) wanaondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates kwa ajili ya kufanya majaribio.Vijana hao wanakwenda katika klabu ya vijana ya Orlando Pirates kufanya majaribo ambapo makocha wa vijana wa klabu hiyo watapata nafasi ya kuwatazama katika mazoezi na michezo ya kirafiki.Nafasi hiyo imepatikana kufuatia mazungumzo ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Rais wa klabu...

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini

Vanessa Mdee a.k.a Vee Money anaendelea kupata mashavu ya kimataifa, ambapo hivi sasa ataiwakilisha Bongo katika tamasha la ‘African Music Concert’ 2015 (AMC) linalotarajiwa kufanyika October 24, 2015 Johannesburg, Afrika Kusini. Hit maker wa ‘No Body But Me’ atashare jukwaa na mastaa wengine wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Madhara ya Nyaope kwa vijana Afrika Kusini

Dawa za kulevya zenye uraibu mkubwa zinaendelea kuikumba AfriKa Kusini hasa kwenye mitaa inayokaliwa na watu maskini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini huenda ikajiondoa kwenye ICC

Afrika Kusini imeonya kuwa huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC kuhusiana na jaribio la kumkamata rais wa Sudan Omar al Bashir

 

10 years ago

Dewji Blog

Afrika Kusini yakabiliana na tabianchi kwenye miji yake mikubwa

DSC_1900Mkufunzi na mtafiti, Daktari John Odindi,  kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika Kusini (kulia) katika mahojiano maalum na  mwandishi wa Habari mwandamizi wa blog ya  modewjiblog.com, Andrew Chale kwenye mkutano wa wanasayansi juu ya mabadiliko ya tabianchi, unaoendelea  kwenye ukumbi wa Makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa (Picha na Mpiga picha maalum). 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Paris, Ufaransa] Watafiti kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI YAKABILIWA NA TABIANCHI KWENYE MIJI YAKE MIKUBWA

DSC_1900Mkufunzi na mtafiti, Daktari John Odindi, kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika Kusini (kulia) katika mahojiano maalum na mwandishi wa Habari mwandamizi wa blog ya modewjiblog.com, Andrew Chale kwenye mkutano wa wanasayansi juu ya mabadiliko ya tabianchi, unaoendelea kwenye ukumbi wa Makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa (Picha na Mpiga picha maalum).
Na Andrew Chale, Modewjiblog[Paris, Ufaransa] Watafiti kutoka chuo kikuu cha KwaZulu-Natal, Durban nchini Afrika Kusini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani