Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WATANO U-15 WAELEKEA AFRIKA KUSINI

WACHEZAJI watano kutoka katika kikosi cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) wanaondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates kwa ajili ya kufanya majaribio.Vijana hao wanakwenda katika klabu ya vijana ya Orlando Pirates kufanya majaribo ambapo makocha wa vijana wa klabu hiyo watapata nafasi ya kuwatazama katika mazoezi na michezo ya kirafiki.Nafasi hiyo imepatikana kufuatia mazungumzo ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Rais wa klabu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya

Ben Pol kutoka Tanzania (wa pili kushoto), Wangechi kutoka Kenya (wa tano kushoto) na Silva Stone kutoka Ghana (wa pili kulia) wakiwa pamoja na vijana kutoka Tanzania waliokwenda kushuhudia tamasha la Coke Studio Afrika nchini Kenya baada ya kushinda kupitia shindano lililoendeshwa kupitia akaunti ya instagramu ya Millard Ayo.

Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika  kila mwaka katika mataifa tofauti tofauti ya Afrika....

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana watano kutoka Tanzania watumbuiza na Ben Pol jukwaa la 'Coke Studio Afrika' Kenya

Ben Pol kutoka Tanzania (wa pili kushoto), Wangechi kutoka Kenya (wa tano kushoto) na Silva Stone kutoka Ghana (wa pili kulia) wakiwa pamoja na vijana kutoka Tanzania waliokwenda kushuhudia tamasha la Coke Studio Afrika nchini Kenya baada ya kushinda kupitia shindano lililoedeshwa kupitia akaunti ya instagramu ya Millard Ayo.
Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya.Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika  kila...

 

10 years ago

BBCSwahili

Madhara ya Nyaope kwa vijana Afrika Kusini

Dawa za kulevya zenye uraibu mkubwa zinaendelea kuikumba AfriKa Kusini hasa kwenye mitaa inayokaliwa na watu maskini.

 

9 years ago

StarTV

Vijana wanaoshiri kwenye fainali Afrika Kusini waagwa.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amewakabidhi bendera ya Tanzania vijana wanaokwenda kushiriki katika fainali ya kumpata mshindi wa Tuzo ya wajasiriamali vijana wa Afrika ANZISHA itakayofanyika nchini Afrika Kusini Akikabidhi bendera hiyo jijini Dar es salaam Makonda amesema, Serikali imekuwa ikiweka juhudi kuwaunga mkono vijana wajasiriamali kwakuwa nchi ya viwanda haipatikani nje ya ujasiriamali. Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema vijana wengi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msafara wa Urusi waelekea Kusini Ukraine

Msafara wa Msaada kutoka Urusi umeondoka kuelekea Kusini mwa Ukraine licha ya vitisho kutoka Kiev

 

11 years ago

BBCSwahili

Vijana wa Machar waelekea Bor

Taarifa zasema vijana wa Sudan Kusini wafuasi wa Riek Machar waandamana kuelekea Bor, mji uliokombolewa na serikali

 

10 years ago

Mwananchi

Marais watano kushuhudia amani Sudan Kusini

Marais watano wa nchi za Afrika, leo watashuhudia utiaji saini wa mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini, yatakayofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto wilayani Arumeru mkoani Arusha.

 

9 years ago

Habarileo

Vijana watano wafuzu majaribio Bondeni

WACHEZAJI watano kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 wamefuzu majaribio ya kucheza soka katika klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC

 Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani