Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya
Ben Pol kutoka Tanzania (wa pili kushoto), Wangechi kutoka Kenya (wa tano kushoto) na Silva Stone kutoka Ghana (wa pili kulia) wakiwa pamoja na vijana kutoka Tanzania waliokwenda kushuhudia tamasha la Coke Studio Afrika nchini Kenya baada ya kushinda kupitia shindano lililoendeshwa kupitia akaunti ya instagramu ya Millard Ayo.
Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika kila mwaka katika mataifa tofauti tofauti ya Afrika....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboVijana watano kutoka Tanzania watumbuiza na Ben Pol jukwaa la 'Coke Studio Afrika' Kenya
Vijana watano wapata fursa ‘Coke Studio Afrika’ Kenya.Coke studio Afrika ni moja ya matamasha makubwa ambayo huandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ambayo hufanyika kila...
10 years ago
VijimamboBen Pol, Wangechi watisha ‘Coke Studio Afrika’ Kenya
10 years ago
VijimamboNe-Yo kutumbuiza Coke Studio Africa nchini Kenya na nyota wa Afrika
10 years ago
VijimamboVijana kutoka Dar washuhudia Coke Studio ‘live’ Nairobi.
10 years ago
Michuzi
COKE STUDIO AFRIkA MSIMU WA TATU YAANZA
Maonyesho hayo ya muziki ya Coke Studio Africa ni tofauti na mengine ya aina...
10 years ago
Africanjam.Com
RnB SUPERSTAR NEYO TO JOIN THE COKE STUDIO IN KENYA

American R&B singer Shaffer Chimere Smith, better known by his stage name Ne-Yo is set to jet into the country later in the year to be the international act at the grand finale of Coke Studio Season Three. This comes after another American singer, John Legend disappointed the organizers of the show saying that his schedule was too tight, this forced the them to look for an equally high profile artist as his replacement. Last year’s international act, Wyclef Jean brought the house down with a...
10 years ago
Bongo506 Nov
Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii
10 years ago
Michuzi29 Aug
VIJANA WATANO U-15 WAELEKEA AFRIKA KUSINI

10 years ago
Vijimambo