Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msafara wa Urusi waelekea Kusini Ukraine

Msafara wa Msaada kutoka Urusi umeondoka kuelekea Kusini mwa Ukraine licha ya vitisho kutoka Kiev

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ukraine:Urusi inapanga msafara mwengine

Waziri wa msala ya kigeni wa Urusi seri Lavrov amesema kuwa taifa lake linapanga msafara mpya wa msaada .

 

11 years ago

BBCSwahili

Msaada wa Urusi waelekea mpakani.

Msafara wa misaada kutoka Urusi unaelekea kwenye kivukio cha mpaka wa Ukraine

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine: Wapinzani waelekea kupatana?

Rais Viktor Yanukovych, na viongozi watatu wa upinzani wameafikiana kufanyia mabadiliko sheria inayopiga marufuku maandamano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukraine :Msafara wa msaada ni uvamizi

Msafara wa msaada kutoka Urusi Umeingia Ukraine bila idhini ya Kiev

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WATANO U-15 WAELEKEA AFRIKA KUSINI

WACHEZAJI watano kutoka katika kikosi cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) wanaondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea nchini Afrika Kusini katika klabu ya Orlando Pirates kwa ajili ya kufanya majaribio.Vijana hao wanakwenda katika klabu ya vijana ya Orlando Pirates kufanya majaribo ambapo makocha wa vijana wa klabu hiyo watapata nafasi ya kuwatazama katika mazoezi na michezo ya kirafiki.Nafasi hiyo imepatikana kufuatia mazungumzo ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Rais wa klabu...

 

11 years ago

BBCSwahili

EU yaonya Urusi isiingie Ukraine

EU imeonya Urusi isitume majeshi yake ndani ya Ukraine kwa kisingio cha kutoa misaada.

 

11 years ago

BBCSwahili

G7 yailaani Urusi kuihusu Ukraine

Kundi la mataifa ya G7 laitaka Urusi kushughulikia wasiwasi wake kuihusu Ukraine kwa njia ya mazungumzo au kupitia mpatanishi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi kuingilia walioshikiliwa Ukraine

Ujumbe wa Urusi umesema watafanya kila njia kuhakikisha waangalizi wa kijeshi wa Umoja wa Ulaya walioshikiliwa Ukraine wanaachiliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yapingwa dhidi ya Ukraine

Viongozi wa kundi la G7 wamefungua mkutano wao wa mwaka nchini Ujerumani kusini,wakipinga vitendo vya Urusi kwa nchi ya Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani