Marais watano kushuhudia amani Sudan Kusini
Marais watano wa nchi za Afrika, leo watashuhudia utiaji saini wa mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini, yatakayofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 May
Mkataba wa amani waafikiwa Sudan kusini
Mkataba wa usitishaji uhasama kati ya serikali na waasi nchini Sudan kusini waanza kutekelezwa.
10 years ago
Habarileo25 Dec
Mazungumzo ya amani Sudan Kusini yamalizika
MAZUNGUMZO ya vikundi vinavyopingana ndani ya chama cha SPLM cha Sudan Kusini, chini ya usuluhishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yamemaliza awamu ya pili ya mazungumzo hayo.
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaanza
Harakati za kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa Sudan Kusini zimeanza mjini Arusha.
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Kizungumkuti cha amani Sudan Kusini
Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Sudan Kusini na waasi yanatarajiwa kuanza tena leo mjini Addis Ababa Ethiopia.Je yatafaulu?
10 years ago
BBCSwahili06 Aug
Sudan Kusini:Mazungumzo ya amani yaanza
Mazungumzo mapya yanayolenga kumaliza mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe wa miezi 19 Sudan Kusini yameanza katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Majeshi ya China yalinda amani Sudan Kusini
Uchina imeanza kutuma mamia ya wanajeshi wake nchini Sudan Kusini mapema mwaka huu kujiunga katika kikosi cha Umoja wa Mataifa
9 years ago
Mwananchi04 Nov
TB Joshua, marais wanane Afrika kushuhudia kuapishwa Magufuli
Marais wanane wa Afrika wamethibitisha kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais mteule, Dk John Magufuli itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika hawa hapa
>Wakati Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akiupunguza mshahara wake muda mfupi baada ya kuingia madarakani mwaka huu, marais wengine wa Afrika wameonekana kujilimbikizia mishahara mikubwa, tofauti na pato ‘kiduchu’ la wananchi wao kwa mwaka.
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Marais waanza kuwasili A. Kusini
Wakuu wa nchi na Serikali 28, wakiwamo 13 wa Afrika, wamethibitisha kushiriki katika matukio yanayohusiana na safari ya mwisho ya Rais wa kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania