VIJIMAMBO: Shilole Amchapa Kofi Mchumba Wake Nuh Mziwanda
Kwa mijibu wa Gazeti la Marokocho, mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, zuwena Mohammed “Shilole” alimpiga makofi mchuma wake Nuh Mziwanda mbele ya umati wa watu. Gazati la Makolokocho liliripoti kama ifuatavyo;
Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Jan
Shilole Amchapa Kofi Mchumba Wake Nuh Mziwanda
Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko yao lililofanyika Leaders Club, ilishuhudiwa live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na...
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Shilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni!!
Mwigizaji na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yao inayowaonyesha wakiwa watupu.
Nuh Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona wengi wanamshabulia aliamua kuibandua. Kwa kiufupi picha hii haina maadili na ukizingatia mwanadada Shilole ni mama na sijui watoto wake watajifunza nini hapa.
Wapo walioona kuwa kitendo...
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
VIJIMAMBO: Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda
Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili
“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
9 years ago
Bongo504 Sep
Shilole naye achora Tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda (Picha)
10 years ago
GPLSHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
Bongo Movies02 Jun
Mchumba wa Chilole, Nuh Mziwanda Amkana Msichana Aliyedai Kuwa na Mimba Yake
Mchumba wa Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo.
Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na uhusiano na Nuh kwa miaka miwili lakini walitengana baada ya kusikia ana uhusiano na msanii Shilole na kwamba amechora tatuu ya jina lake.
Niliachana naye baada ya kusikia na uhusiano na Shilole na pia amechora tatuu ya...
10 years ago
GPLSHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha. Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupunguza migogoro ya mara kwa...