Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikosi vya Iraq vyawakabili wapiganaji

Wanajeshi wa serikali ya Iraq wanasema kuwa wamelikabili shambulizi moja la wanamgambo katika kiwanda kikuu cha mafuta.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Vikosi vya Chad vyawaua wapiganaji 200

Jeshi la Chad linasema kuwa limewaua wapiganaji 200 wa kundi la boko Haram huku nao wakipoteza wanajeshi 9 katika vita vikali

 

11 years ago

BBCSwahili

Vikosi vya Iraq vyashindwa kuteka Tiqrit

Ripoti kutoka Iraq zinaarifu kuwa vikosi vya serikali vimeshindwa kuuteka mji wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji wa kisunni

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama kuongeza vikosi Iraq

Rais Barack Obama wa Marekani ameidhinisha kupelekwa vikosi vya wanajeshi wapatao 350 Iraq.

 

11 years ago

BBCSwahili

USA kuongeza Vikosi 200 Iraq

Rais Barak Obama ametangaza kuwa anatuma vikosi 200 zaidi , na pia helikopta zisizoKuwa na ruban nchini Iraq.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa IS wazungukwa Iraq

Wanajeshi wa Iraq pamoja na wanamgambo wa Ki-Shia wanaendelea kuwazingira wapiganaji wa Islamic State,huko Tikrit

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa IS wavunja sanamu Iraq

Wapiganaji wa Islamic State wametoa kanda ya video inayowaonyesha wakivunja sanamu ndani ya makavazi katika mji wa Mosul iraq

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia wapiganaji wa Iraq

Ndege za kijeshi kutoka Marekani zimetekeleza mashambulizi tisa ya angani dhidi ya wanamgambo wa Islamic State kazkazini mwa Iraq

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yawashambulia wapiganaji Iraq

Marekani imesema kuwa mashambulizi ya ndege zake zisizo na rubani yameharibu magari mawili ya wapiganaji nchini Iraq.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji washia waelekea Ramadi, Iraq

Inasemekana kuwa wapiganaji wa kishia wanadaiwa kuelekea Ramadi, mji mkuu wa mkoa wa Al-Anbar, Magharibi mwa Baghdad

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani